Yakini
Member
- Nov 20, 2012
- 75
- 19
Tunakumbuka jinsi ulivyoingia kwenye siasa na kupata upenyo kwenye jimbo letu la msalala. Ulianza kwa mbwembwe hata watu wakakusifia japo nilipata shida sana kuamini hilo.
Nikukumbushe tu kwamba wakati ukiingia bungeni kwa mara ya uliikuta ISAKA yetu ikivuma kwa kuwa na fulsa nyingi za kiuchumi hasa bandari yetu ilikuwa ikijulikana inchini kote kama bandari ya nchi kavu, Lakini toka umekuwa mbunge hakuna jipya ulilolifanya zaidi ya kuendelea kuipoteza Isaka yetu.
Hata maji tu yamekushinda kuyasogeza kutoka kahama mjini. Hali ilikuwa mbaya zaidi pale kwa hila zako ulipo changia kumuondoa diwani msomi kwa hila na wana ccm wenzio na kupandikiza diwani asiyejua hili wala lile, diwani wa darasa la saba.
Hivi ulikuwa na mpango gani?? au ndo kutuadhibu? Tukupe tu taarifa kuwa tumechoka, na tunakusubiri 2015. Pamoja na kuwa naibu waziri na baadae kuwa waziri umeshindwa kabisa hata kutuondolea kero ya maji, acha shida zingine tulizonazo, bandari imekufa, mashirika yanakufa, wewe ndo kwanza kumekucha na CCM. Hakika utajua tu 2015.
Ni hayo tu.