Ujumbe kwa dada zetu.

Duh pole sana hii inaonesha bado akili za kitumwa zimejaa kwenye familia, yaani mke haonekani kama mwenza bali ni mtumwa tu. Sasa suali langu hivi mumeo akija kwenu hupewa kazi gani nae aonekane anafaa na yupo ngangari?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mwanaume ukienda ukweni ni kuonesha jeuri ya pesa! Yeye akija kwenu ni kuonesha maujuzi ya kupika na kutunza nyumba
Mkuu familia za kimaskini ndio zina mambo haya wenye hela zao haya mambo hakuna kabisa.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu mwanaume ukienda ukweni onyesha jeuri ya pesa, hakikisha mama mkwe hatoi hata mia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi yake ni kula kuku mzima aliyeandaliwa ili usiku atakapokuwa amelala apate nguvu ya kunitindua vizuri, anatritiwa kama mfalme
Duh pole sana hii inaonesha bado akili za kitumwa zimejaa kwenye familia, yaani mke haonekani kama mwenza bali ni mtumwa tu. Sasa suali langu hivi mumeo akija kwenu hupewa kazi gani nae aonekane anafaa na yupo ngangari?


Ndukiiiii
 
Who told you that? familia zote hivo hivo kwanza sisi wenyewe huwa tunafanya hayo makazi kwa moyo mkunjufu na kwa fahari kubwa, moyo mkunjufu huwezi kuwepo mama mkwe akapike, mkamwana atulie haiwezekani aisee.

Na kama akipika unapata wasiwasi au hapendi chakula changu?
au sijui kupika? amani inakosekana.
Mkuu familia za kimaskini ndio zina mambo haya wenye hela zao haya mambo hakuna kabisa.


Ndukiiiii
 
Mimi sikumbuki kumuona mama au sister kuambiwa akapike tukienda kutembea upande wa baba au hata kwao yeye mama. Manake tokea nina miaka 5 ndani kwetu kuna wafanyakazi wawili. Mpaka hivi sasa kuna wafanyakazi na ikitokea kwenda kutembea huwenda nao na huko tunapokwenda wanakuwepo wafanyakazi. Labda tumekulia tofauti na familia zengine
 
Yani haiwezekani mwanamke wa kiafrika akafanya hayo mambo yani haitotokea labda bongo movie.. HV huyu MTU anavyoongea hivi anafikiri watu hatuna madada nyumbani.. Kwanza wanawake wanapenda kupika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…