jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Kuna baadhi ya vyuo wanaanza orientation jumatatu ikiwa ni pamoja na kufanya registration,sasa ikiwa hawajui muamala wao mnataka wajipange vipi na chuo?
we unafikiri wote waliopo chuo wanalipiwa na bodi.
nenda chuo acha mbwembwe.
bodi wanatarget sana tarehe za kufungua kwa vyuo vya serikali hivyo watatoa majina mwezi huu mwishoni.
Sasa,wanatarget,vyuo vya serikali tu,je vyuo vya private,avitambuliki?bodi wanatakiwa kuzingatia ratiba ya vyuo vyote,,waache,,mambo zao hizo,,,,,,,