kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,952 Reaction score 939 Mar 3, 2013 #21 nash2010 said: Huu hapa! View attachment 85224 Click to expand... Kabla hamjapewa majukukumu mlikuwa ma bubu, sasa hivi mnachonga sana. Tunataka umeme ni haki yetu.
nash2010 said: Huu hapa! View attachment 85224 Click to expand... Kabla hamjapewa majukukumu mlikuwa ma bubu, sasa hivi mnachonga sana. Tunataka umeme ni haki yetu.
nash2010 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2010 Posts 624 Reaction score 216 Mar 4, 2013 Thread starter #22 kyanaKyoMuhaya said: Kabla hamjapewa majukukumu mlikuwa ma bubu, sasa hivi mnachonga sana. Tunataka umeme ni haki yetu. Click to expand... tanesco!!!!!!
kyanaKyoMuhaya said: Kabla hamjapewa majukukumu mlikuwa ma bubu, sasa hivi mnachonga sana. Tunataka umeme ni haki yetu. Click to expand... tanesco!!!!!!
M Mswahili wa Bara Senior Member Joined Feb 10, 2013 Posts 111 Reaction score 40 Mar 4, 2013 #23 Nadhani hawa hawafai kuwa viongozi. Vijijini kuna umeme pia. Hata kama hakuna umeme,kwani huo umeme hapo mjini uliwekwa ili ukatike kila mara? Nadhani aliyetoa kauli hiyo anapaswa kushulikiwa kisheria
Nadhani hawa hawafai kuwa viongozi. Vijijini kuna umeme pia. Hata kama hakuna umeme,kwani huo umeme hapo mjini uliwekwa ili ukatike kila mara? Nadhani aliyetoa kauli hiyo anapaswa kushulikiwa kisheria
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,811 Reaction score 110,060 Mar 4, 2013 #24 MadameX said: Kijijini hakuna kwasababu pia umeshindwa kuwajibika. Click to expand... aisee umeandika ukweli mtupu...awezaye kusoma na asome!!
MadameX said: Kijijini hakuna kwasababu pia umeshindwa kuwajibika. Click to expand... aisee umeandika ukweli mtupu...awezaye kusoma na asome!!
paradiso JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 1,021 Reaction score 356 Mar 4, 2013 #25 Jamani yani tunadai haki yetu alafu kampuni inatutukana? Ni nani anawapa kiburi hawa kenge? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Jamani yani tunadai haki yetu alafu kampuni inatutukana? Ni nani anawapa kiburi hawa kenge? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums