Ujumbe kutoka no::+2698010629

Joined
Jul 10, 2009
Posts
31
Reaction score
1
Wadau nimepokea sms katika simu yngu yenye ujumbe ufuatao!

"Call for free your number has been selected to win 50000$ call us 02698010629 now this is your chance"

sender:+2698010629
sent:
7-May-2012
11:45:07

Nimesita kupiga kwa sababu naamini ni utapeli,sasa ninachouliza kwa haya makampuni ya simu za viganjani hawawezi kuwafuatilia hawa watu kwa kushirikiana na vyombo vya dola? Ni usumbufu mkubwa kwa wateja.
 
Sio matapeli ni vijana wanaosoma IT wapo kwenye course work
 
pesa inasakwa kwa nguvu sana aisee. A Nigerian old scam game. Not a too-smart one!!
:eek2:
 
Dah nakumbuka kipindi fulani nilipigiwa cmu kabisa,eti niwatumie vocha elfu 30 zen waniingizie iyo mil 15 niliyoshinda,mjini 4m six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…