Ujumbe huu, mmh !

Wewe ndo umepotea jukwaa, rudi kule kwenye siasa ukaendelee kupata stress...

nikuchekeshe leo nimeomba access ya jukwaa la wakubwa aiseeee nimehisi kizunguzungu na huu utu uzima wangu......unahitaji roho ngumu nadhani baada ya jukwaa la siasa na katiba la wakubwa linafuatia kwa STRESS
 
Ndo unalipataje hilo jukwaa la wakubwa mim nalitaka ila silioni
 
nikuchekeshe leo nimeomba access ya jukwaa la wakubwa aiseeee nimehisi kizunguzungu na huu utu uzima wangu......unahitaji roho ngumu nadhani baada ya jukwaa la siasa na katiba la wakubwa linafuatia kwa STRESS

Mh! Ndo maana mimi nimeng'ang'ania huku, mambo ya stress siyawezi, yanapunguza siku za kuishi...
 
nikuchekeshe leo nimeomba access ya jukwaa la wakubwa aiseeee nimehisi kizunguzungu na huu utu uzima wangu......unahitaji roho ngumu nadhani baada ya jukwaa la siasa na katiba la wakubwa linafuatia kwa STRESS

Aisee mbona umenipa mshawasha wa kulitafuta hilo jukwaa
 
By Khantwe

By kashengo

mmmm....mshawasha niliokuwa nao nimeomba wanitoe kule ni sheeedah...

By Khantwe

Teh teh ulimuomba nani?

PM invisible....ila you get acess at your own risk

Mwe, wee Khantwe, angalia tu usije baadaye kutusumbua huku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…