Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

Mwaka ule Pinda akiwa waziri Mkuu, Magufuli alikuwa waziri aliamuru makao makuu ya TANESCO yabomolewe. Waziri Mkuu akakataa. Sasa Magufuli ni Rais , Pinda ni mkulima, jengo linavunjwa Na Pinda atapongeza ubomozi huo
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…