UkomboziMpya
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 465
- 179
Lowassa hawezi kuongoza mabadiliko because he is part of the problem not the solution
Pili, kwa hali aliyofikia na Parkinson yake hata akili yake sasa si nzima. So poleni sana!
Kijana acha kutumia m.k.undu kufikiri! Umeambiwa hakuna mabadiliko ndani ya ccm yapo nje ya ccm. Miaka 54 ya uwepo wao ingetosha kuleta mabadiliko hawakuleta, sasa miaka 5 watawezaje?! Unanichosha kijana! Kichwa kigumu!