Misingi ya kuomboleza siku 21 kitaifa imebebwa kwenye alama na si mioyoni?
Ukirejea sheria zote zilizotungwa na bunge chimbuko lake lilitazama tamaduni na mila!
Kila kabila lililounda taifa lina namna yake ya kuomboleza, kwa mfano;
Haya kukatazana kusherekea ni ujinga wa kutafsiri maono ya katiba!
Katiba ni kama Mila na tamaduni iliowekwa itumike kama destuli kwa watu wote waliostaarabika kitaifa bila buguza!
Na katiba ilitamka wazi kabisa. "Kutakuwa na siku kadhaa za maombolezo AMBAPO BENDERA ITAPEPEA NUSU MLINGOTI!
Kama Kungekuwa na ulazima wa kuzuia sherehe KATIBA Ingesema KUSIFANYIKE SHEREHE!
Kwanini katika siku 21 za maombolezo:
Viongozi someni KATIBA iko wazi! Hatutaki Mawazo binafsi kuwa ya KITAIFA!
Maombolezo kitaifa huwakilishwa na BENDERA tu, Imani na shughuli za kidini, kimila na tamaduni iliziacha kama zilivyo!
MSITUPANGIE!

- Yapo makabila hunyoa nywele kama alama ya maombolezo.
- Wapo wanaochinja ng'ombe na kusherekea kama alama ya maombolezo.
- Wapo wanaohama miji kama Alama ya maombolezo.
- Wapo wanaolala chini siku kadhaa kama ALAMA ya maombolezo.
Haya kukatazana kusherekea ni ujinga wa kutafsiri maono ya katiba!
Katiba ni kama Mila na tamaduni iliowekwa itumike kama destuli kwa watu wote waliostaarabika kitaifa bila buguza!
Na katiba ilitamka wazi kabisa. "Kutakuwa na siku kadhaa za maombolezo AMBAPO BENDERA ITAPEPEA NUSU MLINGOTI!
Kama Kungekuwa na ulazima wa kuzuia sherehe KATIBA Ingesema KUSIFANYIKE SHEREHE!
Kwanini katika siku 21 za maombolezo:
- Serikali imeruhusu watu wafanye kazi? Si wangelala nyumbani kuomboleza?
- Je, kama kazi ni lazima ziendelee hawafahamu kuwa miongoni mwa kazi ni pamoja na kuwa MC, mwanamziki au mwanamichezo? Au hizi siyo kazi za watu?
- Kwanini serikali inaendelea kukusanya kodi siku za maombolezo?
- Kwanini wanaaipishana ikulu/bungeni kupeana vyeo na kupiga bendi, meza na vigeregere siku za maombolezo?
- Je, Hivi ndivyo maombolezo yalivyo kupeana ulaji kabla ya siku 21?