Kite Munganga Platinum Member Joined Nov 19, 2006 Posts 1,773 Reaction score 952 Sep 20, 2010 #21 Taarifa hii inaweza kuwa ya uongo au ya kweli lakini kimsingi Mr Sitta is not clean na si mpiganaji wa haki ya watanzania, hebu tujaribu kuangalia jinsi alivyoua mjadala wa Richmond,Meremeta, Deepgreen etc
Taarifa hii inaweza kuwa ya uongo au ya kweli lakini kimsingi Mr Sitta is not clean na si mpiganaji wa haki ya watanzania, hebu tujaribu kuangalia jinsi alivyoua mjadala wa Richmond,Meremeta, Deepgreen etc