Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 768
- 1,803
Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili.
Ubongo wa kushoto
Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa kulia.
Yaani mfano shambulio la ubongo wa kushoto linafanya viungo upande wa kulia vipararaizi.
Tumeona Mambo yote ya fact, uhalisia, nguvu, misuli na yote yanayohitaji mguso wa macho yanaratibiwa huko
Katika somo hilo tumejifunza wanaume wanaufanisi mzuri wa kutumia ubongo wa kushoto kuliko kulia.
Ubongo wa kulia
Vivyo hivyo ubongo wa kulia tuliona unavyosimamia viungo vya mwili upande wa kushoto kama mkono wa kushoto, ubavu wa kushoto, mguu wa kushoto n.k
Tulifahamu ubongo huu ndiyo hushughulika na hisia, imani, hadithi na mambo yote ya kufikilika
Wanawake kwa asilia wana ufanizi mzuri katika eneo hilo!
Kwa ufupi mfumo wa mwili ulisukwa kwa fumbo la herufi X ( Yaani left right and right left)
Ukichimba zaidi utaona lugha ya mafumbo au kificho ndiyo lugha ya kiulimwengu!
Mambo yote makubwa yamefichwa kwasababu hiyo ndiyo fomula!
Mfano: Ukimuona RAIS anabodigadi kushoto na bodigadi mwingine upande wa kulia kwake;
Tambua wazi yule wa kushoto anauwezo mkubwa sana kuona adui anaetokea kulia na yule bodigadi wa upande wa kulia anauwezo mkubwa wa kuona mengi yanayotokea kushoto kwake.
Hata macho ya binadamu yanafanya kazi kwa fomula hii hii (jicho la kulia linaona zaidi kuelekea kushoto na la kushoto linaelekea kulia)
Hii interchange ya mwili ni code ya kiulimwengu (X)
Watawala wa dunia hii wanafanya nini kuharibu hii kanuni ya X?
Iko hivi, MWANAUME Amebeba mwanamke ndani yake kimfumo! Ndani ya mwanaume kuna mbegu za kiume na mbegu za kike (XY)
Kwa lugha rahisi mwanaume kabeba muendelezo wa kizazi (Generation)
lakini MWANAMKE yeye kajibeba yeye mwenyewe (XX) na mabadiliko yake mwenyewe ( Transformation )
Sasa basi, ULIMWENGU uliweka misingi kwamba Mwanaume AFANYIE MAAMUZI MAMBO YOTE YANAYOONEKANA kwa kurejea ubongo wa kushoto,
Na mwanamke asaidie mambo yote yasiyo onekana kwa ubongo wa KULIA!
Je, ubongo unahitaji mazoezi?
Jibu ni ndiyo, Ubongo ili ufanye kazi ipasavyo unahitaji mazoezi ya ubongo!
Mfano!
Ubongo wa kushoto unaimarishwa na Kufanya mahesabu, kufanya mazoezi, kucheza, kwenda kwenye maonesho kama sabasaba, nanenane, kuandika maelezo kwa mkono wako mwenyewe, kufanya mambo kwa vitendo n.k
Ubongo wa kushoto vivyo hivyo unahitaji mazoezi mfano kuimba, kusikiliza hadithi, kufanya meditation, kusali, kusikiliza mahubiri, kusononeka, huzuni n.k
Hayo mambo mawili yote yanaratibiwa na ubongo wa kushoto na kulia!
Ulimwengu unafanya ni kubadilisha matumizi sahihi ya ubongo?
1. Ulimwengu unataka watu wasiitambue njaa kama ni sehemu ya maisha ya kupambana.
2. Ulimwengu unafundisha mambo mengi ya kufirika, kubeti, kupata zari, miujiza zaidi (hili ni hatari sana kwa vijana wa kiume kuharibu ubongo wao na kuwa wa kike)
3. Wanawake kusoma sana wanaimalisha ubongo wa kushoto maana yake hawatakuwa na haja tena ya kutafta mwanaume!
Mambo yote ya fact watamaliza wenyewe na kihisia wanamaliza wenyewe
4. Ujio wa teknolojia ya akili mnemba inaenda kuwa mbadala wa akili na baadae elimu za kiafrika zitakuwa hazina maana yoyote kama hazitabadilishwa haraka!
5. Ukatili utaongezeka kwasababu nafasi za kazi za watu zitachukuliwa
6. Wanaume watahama kwenye nafasi na wanawake watahama kwenye nafasi ile kanuni ya kiulimwengu (X) Itapotea
Ile kanuni ya ulimwengu ni siri za juu za ulimwengu na ukifanikiwa kuibomoa unakuwa unaharibu kabisa ulimwengu!
Na wavumbuzi wakuu wa siri za ulimwengu walikuwa wagiriki tangu enzi hizo walitabiri juu ya uharibifu wa nafasi katika ubongo.
Hata ile chapa ya mchawi mkuu ya namba 666 ilitafsiriwa na wagiriki kwa alama ya (X)
Chapa hiyo Iko hivi! 666 (Six hundredth and sixty six) kwa kigiriki wanasema ni (exakósia exínta éxi) kifupi chake ni (Ex Ex Ex) ukitumia herufi ya kigiriki ya kifupisho cha (EX) ni alama X
Kwa maana hiyo herufi (XXX) ni utatu mtakatifu wa siri za ulimwengu kwa maana ya
1. X ya kwanza AKILI,
2. X ya pili Nafsi
3. X ya tatu Hisia
HIvi vyote (XXX) Vikitekwa basi MWILI mzima umetekwa.
Sijui kama naeleweka! Nasema hivi Ukifanikiwa KUMTEKA BINADAMU Hayo maeneo matatu basi mwili wake ni mali yako unaweza kumfanya chochote na lolote na popote!
Ifahamike Wagiriki walivumbua pia siri nyingi sana ambazo wakazificha kwenye HERUFI!
Na siri hizo ni nguvu ya ulimwengu!
Miongoni mwa herufu mfano.
a) Alpha na omega (hii ni nguvu ya kuanza jambo na kumaliza jambo
b) helufi (ThiTA) kule shule ya msingi kwenye hesabu tulitumia sana herufi hii inafanana na Q kutafta angle, lakini hii inamaanisha Kumtafta Mungu wa kigiriki aliyejificha (thita)
c) helufi DELTA (∆) Hii ni alama ya pembetatu au kama yale mapiramidi huko misri , Huu ni muunganiko wa (Akili, nafsi na hisia) katika umbo la pembe tatu
d) Herufi SIGMA (£) kwenye hesabu humaanisha JUMLA Lakini Sigima kiulimwengu ni MWILI unapokuwa umetekwa jumla jumla pamoja na akili, nafsi na hisia
KIUFUPI FOMULA YA UBONGO IKITEKWA hatutabakia salama
Tutapata viongozi waliotekwa, tutapata jamii iliyotekwa na AUTOMATICAL ile chapa ya kuharibu kazi ya (X) Itakuwa imetufikia!
USHAURI KWA SERIKALI
Somo la STADI ZA KAZI lipewe kipaumbele sana kuanzia shule ya msingi hadi vyuoni!
Kwasababu mengine yote teknolojia inakwenda kuyamaliza kupitia akili mnemba
Masomo yetu yawe ya vitendo vingi kuliko maelezo, Hospital ziwe na wataalamu wa OPERATIONS ZAIDI kuliko kusikiliza dalili za ugonjwa.
Maana kwa akili mnemba inakwenda kutoa ushauri kama dakitari lakini OPERATION itahitaji watu.
Watu wengi tunawapoteza kwa kuvuja damu nyingi wanapopata ajali hii ni kutokana na uhaba wa wataalam wa operation kwenye hospital zetu.
Anyway kwa akili yangu ya darasa la saba labda nikaribishe maswali kutoka kwenu wasomi tujuzane mengineyo.