ujue mwezi wa nane-muhimu

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
309
najua thread hii sio mahala pake, lakini naomba niwajuze jambo moja juu ya mwezi wa nane, ni mwezi ambao hautaisha bila kusikia watu au mtu kufukuzwa kazi,ni mwezi wa kufukuzwa, kuachishwa, au kusimamishwa kazi.
lamsingi kuwa makini na kazi pamoja na uaminifu
mwenye kuamini aamini
 
Pia na mwisho wa mwaka, teh teh teh teh.
 

Haina mashiko! Au ndo unawapigia ramli walimu?
 
haya yote yameshindwa.. in Jesus name... sitakiri udhaifu daima...ubaya huu amini mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…