ujue mgeni aja

Hamna kituo cha polisi wakugawie bomu moja? Ungemrushia bomu hapo hauna kazi ya kuchinja, kunyonyoa wala kukatakata!
 
Hahahahaha...mkubwa hivyo anakimbiza kuku mdogoo
 
jogoo katambaa na pande la nyama. pande lenyewe lilikuwa moja. jamaa kaapa lazima jogoo aliteme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…