Ujobless ukikolea unaanza kutamani kazi yoyote

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Maisha Sometimes yakiamua kukuadabisha yana kuadabisha kweli mpaka maji utaanza kuyaita mma stage hiyo ndio ujeuri wote unakuwa umeisha unaanza kutafuta afueni ya maisha.

Wakati sisi tunaenda kuapply vyuo tuliwaona wale wanaoenda kusomea cherehani, welding, useremala, ujenzi, upishi, ugambo, mechanics na walioanza umachinga kama wamefeli maisha tulikuwa tukijiona masuperior kwa vile tumeenda chuo afu si unajua tena kuitwa mwanachuo kunavyo sound good kumbe tumetangulizwa na baiskeli za miti.

Sasa leo hii mtu mwenye degree anamuonea wivu housegirl wa Nandy kisa iPhone aliyoitoa Billnass tatizo ni Ujobless mimi mwenyewe nikipitaga Masaki nawaonea wivu mashamba boy walioko kwenye nyumba za kifahari naona wanafaidi maisha yaani ndio tatizo la kuwa Jobless hata uwezo wa kufikiri unazidi kupungua kadri siku zinavyoenda.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
 
Hivi zile nafas za kazi ngazi LGA ngazi ya kata mnaombaga lakini?. Kuna du nimemaliza nae mwaka jana juzi tu hapo kapata ajira portal nimelion jina lake
 
Maisha Sometimes yakiamua kukuadabisha yana kuadabisha kweli mpaka maji utaanza kuyaita mma stage hiyo ndio ujeuri wote unakuwa umeisha unaanza kutafuta afueni ya maisha.

Wakati sisi tunaenda kuapply vyuo tuliwaona wale wanaoenda kusomea cherehani, welding, useremala, ujenzi, upishi, ugambo, mechanics na walioanza umachinga kama wamefeli maisha tulikuwa tukijiona masuperior kwa vile tumeenda chuo afu si unajua tena kuitwa mwanachuo kunavyo sound good kumbe tumetangulizwa na baiskeli za miti.

Sasa leo hii mtu mwenye degree anamuonea wivu housegirl wa Nandy kisa iPhone aliyoitoa Billnass tatizo ni Ujobless mimi mwenyewe nikipitaga Masaki nawaonea wivu mashamba boy walioko kwenye nyumba za kifahari naona wanafaidi maisha yaani ndio tatizo la kuwa Jobless hata uwezo wa kufikiri unazidi kupungua kadri siku zinavyoenda.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.

Nakumbuka Nilikuwa nafuga Nyani Wawili, kale kamoja kalikuwa Kapole Sana.
Ila kakiletewa ndizi katakavyochangamka hutaamini.

Jina lake kaliitwa Katoke
 
Maisha Sometimes yakiamua kukuadabisha yana kuadabisha kweli mpaka maji utaanza kuyaita mma stage hiyo ndio ujeuri wote unakuwa umeisha unaanza kutafuta afueni ya maisha.

Wakati sisi tunaenda kuapply vyuo tuliwaona wale wanaoenda kusomea cherehani, welding, useremala, ujenzi, upishi, ugambo, mechanics na walioanza umachinga kama wamefeli maisha tulikuwa tukijiona masuperior kwa vile tumeenda chuo afu si unajua tena kuitwa mwanachuo kunavyo sound good kumbe tumetangulizwa na baiskeli za miti.

Sasa leo hii mtu mwenye degree anamuonea wivu housegirl wa Nandy kisa iPhone aliyoitoa Billnass tatizo ni Ujobless mimi mwenyewe nikipitaga Masaki nawaonea wivu mashamba boy walioko kwenye nyumba za kifahari naona wanafaidi maisha yaani ndio tatizo la kuwa Jobless hata uwezo wa kufikiri unazidi kupungua kadri siku zinavyoenda.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
Hofu na mashaka..isikie tu
 
Back
Top Bottom