Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,759
Wakati huo huo yoast SEO ana active installation zaidi ya millioni 5.Habari?
Kwa muda sasa Yeost imekuwa plugin inayokimbiza kwenye anga za SEO, lakini baada ya ujio wa Rank Math upepo umeanza kubadilika.
Rank Math inakupa features zote za Yeost SEO Pro for free, yes free, no charges.
Mpaka sasa Rank Math ina active installs zaidi ya laki moja na kila siku members wanaongezeka.
Wadadisi wanadai Rank Math ni light kuliko Yeost SEO.
Mpaka sasa Rank Math pamoja na kutoa features za Yeost Pro for free lakini wako mezani wanaandaa pro version.
Je Rank Math inaweza kuwa ndiye mshindani wa Yeost SEO katika anga za Wordpress SEO?
Ndugu yangu turudi tu kwenye masimulizi yetu ya ngoni movement from South Africa to songea.Sijaelewa huu uzi naomba ufafanuz nijifunze na mm
HahaaNdugu yangu turudi tu kwenye masimulizi yetu ya ngoni movement from South Africa to songea.
Active installations sio tatizo mkuu... Angalia kasi ya rank math utaelewa ....na idadi ya watu wanao hama yeost kwenda rank math.Wakati huo huo yoast SEO ana active installation zaidi ya millioni 5.
Isitoshe bado Kuna premium version na wakati hii free version bado inabamba tu.
Nafikiri yoast SEO atazidiwa baadae sana labda ni kutokana na ugumu wa kuitumia.
Kwa wapenda vya bure lakini hata ikishuka kimatumizi bado itakua juu tu since nimeshakuambia Kuwa premium version inafeatures kibao ambapo hiyo rank math wanaiga.Active installations sio tatizo mkuu... Angalia kasi ya rank math utaelewa ....na idadi ya watu wanao hama yeost kwenda rank math.
Kama free wanatoa huduma za yeast pro... Je ikija rank math pro si itakua mara kumi ya yeost?
Shida sio kuiga maana wao wenda waliiga sehemu, kitu unatoa free alafu mtu mwingine anatoa kwa pesa, kama ubora unafanana lazima yule anayetoa free awe juu.Kwa wapenda vya bure lakini hata ikishuka kimatumizi bado itakua juu tu since nimeshakuambia Kuwa premium version inafeatures kibao ambapo hiyo rank math wanaiga.
Ivi developers wanaotumia linux hawajiwezi kisa hawatumii windows OS?Ishu labda tuseme kampuni za developer wadogo wasiojiweza wataitumia sana hii rank math.
Sawa sawa.Alafu unakosea sana ni yoast SEO na sio yeost SEO
Shida sio kuiga maana wao wenda waliiga sehemu, kitu unatoa free alafu mtu mwingine anatoa kwa pesa, kama ubora unafanana lazima yule anayetoa free awe juu.
Ivi developers wanaotumia linux hawajiwezi kisa hawatumii windows OS?
Sawa sawa.
Mkuu kwa mtazamo wangu jaribu kuitumia rank master uone maajabu!!
Nilikupata vizuri sana na ndio maana nikakuuliza...Ninaposema developer wasiojiweza simaanishi uwezo wa kufanya kazi Bali uwezo wa kipesa sijui umeelewa.
Umeongea point ya msingi sana, ni kweli haiwezi kushuka kirahisi ila atleast kwa sasa amepata mpinzani ambaye akizembea tu atapotezwa! Personally naitumia kwenye site zangu mbili na nnaona inafanya vizuri na developer wake wako very active hasa kwenye kujibu kero za watumiaji na ku release updates!!ila binafsi nafikiri ni mapema kufikiri kwamba Yoast itashuka hasa kutokana na ukweli kwamba imekuwepo muda mrefu na hilo tu linahitaji mshindani wake kuwa na bidii.Nafikiri ni vyema tukatumia ile ambayo tunaona inatufaa na mwisho wa siku,good ranking ni content quality kwanza....
Karibu tena mkuu!kuna nyuzi hata ukitaka kuchangia pumba unakosa namna ya kuiweka pumba yako
yost yost sjui Seo yani thread ngumu kinoma sielewi mbele wala nyuma
endeleeni wajomba yamenishinda....
Ngumu kama chapati iliyopikwa na slayqueen [emoji16][emoji16][emoji16]kuna nyuzi hata ukitaka kuchangia pumba unakosa namna ya kuiweka pumba yako
yost yost sjui Seo yani thread ngumu kinoma sielewi mbele wala nyuma
endeleeni wajomba yamenishinda....