Mwinyi alisema bei zisipande. Maboti yamegawiwa hadharani. Jumba refu laja.
Sisi tumeambiwa vitu vyote hadi ada za shule katikati ya muhula zitapanda.
Kwetu makelele kila kona kwenu kimyaa!
Yasemekana kwa umoja wenu mnaweza sana kutucheza shere. Kwamba mu wataalamu wa kula na vipofu.