Ujio wa Rais Mwinyi kwa Zanzibar ni kama sub ya Morison kwa Simba

Mwinyi alisema bei zisipande. Maboti yamegawiwa hadharani. Jumba refu laja.

Sisi tumeambiwa vitu vyote hadi ada za shule katikati ya muhula zitapanda.

Kwetu makelele kila kona kwenu kimyaa!

Yasemekana kwa umoja wenu mnaweza sana kutucheza shere. Kwamba mu wataalamu wa kula na vipofu.
Mwinyi alisema. Jee ndo imetendeka?

Nadhani itoshe tu kusema"simba mwenda kimya ndiye mla nyama".

Sisi tuseme au tusiseme ukweli utabaki kuwa vitu vimepanda bei na maisha yamepanda.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom