Ni dhahiri kwamba mhe Lowasa ni mtaji mkubwa katika kujiunga na chadema/ ukawa. Aidha utaratibu na makubaliano ya kujiunga na CDM ndiyo utakaomfanya awe mtaji au mzigo kwa chama. Ikumbukwe kwamba Lowasa anajiamini sana na hadi sasa anaamini kwamba ana nafasi ya juu kabisa ya nchi hii na anastahili kuwa Raisi.naweza kumlinganisha na Raila Odinga. Na hapo ndiyo njiapanda ya mahusiano ya Lowasa na CDM.ushauri wangu ni kwamba Lowasa apewe Haki yake ya singi ya kujiunga na upinzani bila masharti ya kutaka uongozi wowote wa awali; tofauti na hapo upinzani utasambaratika na kukosa nafasi hii ya pekee kuongoza nchi.
Ni matarajio yangu kuwa kutakuwa na mabadilo makubwa ya kisiasa na kiuchimi katika nchi yetu.
Ni matarajio yangu kuwa kutakuwa na mabadilo makubwa ya kisiasa na kiuchimi katika nchi yetu.