Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,275
- 1,077,679
Rudi tena ukasome mantiki na muktadha wa comment yangu. Usipoelewa tena mpigie Mwl. wako aliyekufundisha Ufahamu (Comprehension) may be atakusaidia!wewe unafanya nin hapa??

umejitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe
ww ndio shinyanga ama kweli miccm bwana!!
yule tumbo tele mgeja msindai ni singida wewe! shinyanga nambari wani eeeeh inatambanko Shinyanga hayo unayoyasema umeyatoa wapi?? mbona Shinyanga mjin nilipo CCM hawana chao na hata mwenyekit wa CCM mkoa Hamis Mgeja ni team Lowassa na anaendelea kukibomoa chama chinichin kabla hajamfuata Lowassa..acha kupotosha mkuu
haya tumekubaliana furahi basiTukubaliane tu kwamba CHADEMA wamechemka sana kumchukua lowasa, sasa hivi wana vidonda vingi vya kutibu kuliko kuboresha afya ya chama
Mama Chambulilo na wewe huwa unaingia JF? Tumevamiwa!! Masele hana chake hapa mjini, jimbo linaenda na Katambi!!Ndugu wanajamvi!
Hali ya kisiasa katika jimbo la Shinyanga mjini imezidi kuimarika kwa upande wa CCM na kuwa mbaya kwa wana UKAWA.
Awali kabla ya ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA, UKAWA walikuwa na nguvu kubwa kiasi cha kutishia uendekezo wa CCM kulitawala jimbo hili.
Hivi sasa kila kona ya mji wa Shinyanga gumzo ni Magufuli na mbunge anayemaliza muda wake, Mhe. STEVEN MASELE.
MASELE anatajwa na wananchi wingi kama mbunge kijana shupavu aliewaletea maendeleo lukuku wananchi wa Shinyanga ndani ya miaka Kitano tu.
MAGUFULI anatajwa kama kiongozi asiyetetereka na mwenye kusimamia kanuni na sheria.
Kifupi ni kuwa UKAWA hawana chao katika uchaguzi huu hapa Shinyanga.
Ndugu wanajamvi!