chambulilo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 217
- 38
Ndugu wanajamvi!
Hali ya kisiasa katika jimbo la Shinyanga mjini imezidi kuimarika kwa upande wa CCM na kuwa mbaya kwa wana UKAWA.
Awali kabla ya ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA, UKAWA walikuwa na nguvu kubwa kiasi cha kutishia uendekezo wa CCM kulitawala jimbo hili.
Hivi sasa kila kona ya mji wa Shinyanga gumzo ni Magufuli na mbunge anayemaliza muda wake, Mhe. STEVEN MASELE.
MASELE anatajwa na wananchi wingi kama mbunge kijana shupavu aliewaletea maendeleo lukuku wananchi wa Shinyanga ndani ya miaka Kitano tu.
MAGUFULI anatajwa kama kiongozi asiyetetereka na mwenye kusimamia kanuni na sheria.
Kifupi ni kuwa UKAWA hawana chao katika uchaguzi huu hapa Shinyanga.