Ujio wa Iphone 6 November mosi


Labda nina kichaa cha wazimu..
 
Mimi nitakuwa na simu penzi ya nokia
 
Jamani ivi mbona mi toka ninunue simu yangu hainiletei yale mambo ya "From my iPhone using jamii forums" kama wenzangu? Nifanyaje?

Kama hivi?


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
kwa hiyo bei, watu watasubiri za mr young chi, mil 6 hiyo? ikiibiwa inajirudisha yenyewe pia naona.
 
sasa iphone 5s ni 1.5milion iphone 5c 2.1milion iphone 5 1milion na 30000 iweje iyo iwe bei iyo
Hiyo theory yako si sahihi. Bei huwa zina range fulani. Zao jipya linapotolewa la zamani hushuka bei. Bei itakuwa kati ya dola 700 hadi 1500, hapo bila customization. Articles nyingine zinasema inaweza uzwa nchini Uingereza kati ยฃ549, ยฃ629 na ยฃ709 kulingana na Memory.
 
Haiwezi kuwa mil 6 hata siku moja labda kama unataka iwe customized na madini kama gold etc. bei yake ita range kati ya mil 1 hadi 1.5

nakuunga mkono mkuu. rumors zinasema september sio november kutakua na iphone 6 yenye screen size ya 4,7" na iphone 6L yenye kioo cha 5,5". zitatofautiana specifications pia ila same operating stm. bei hazijavuja sana ila haitazid 2mill ya tz unless iwe customized.

hizo picha nadhani fotoshoped tu. iphone hawawez unda simu yenye bezel ndogo hivyo. lg samsung sony ndio wanaweza
 

Hauna mpango wa ku-upgrade mac book pro hiyo?
 
mkuu sijakuelewa kuhusu iphone pia wewe umetazama wapi? Si kweli ngoma inatoka novembar wewe weka weka pesa hiyo, wale watoto wako wanyime ada, waludi nyumbani upate iphone yako mzee iyo ndio akili
 
sio kila maneno wanayoongea wavuta bangi unayaleta hapa simu mil 6? wewe mwenyewe inibidi utumie kichwa kufikiri.
 
sio kila maneno wanayoongea wavuta bangi unayaleta hapa simu mil 6? wewe mwenyewe inibidi utumie kichwa kufikiri.
ndugu yangu 6milion nadhani wewe ndio umeiyona nyingi ila iyo sio pesa kwa wenye nazo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ