Machingafx
Member
- Sep 25, 2026
- 91
- 110
Nilivyoona CCM wanahusika nikajua ni kichaka cha kupigia pesa tu, hakuna lolote endelea kula maisha.ivi hili sakata la ujio wa EL nino limekaaje?? Maana wizara ilitangaza ni kuanzia mwezi wa 9
Na ushapita na amna mvua yoyote..... nyingi zinazonyesha ni rasha rasha tu...
Hii imekaaje?? EL NINO. Ipo kweli?? Ni propaganda za kiselekali na siasa zao za maji taka.....
Weka maoni yako apo chini πππ tunajadiliππ
Baada ya kusikia vilio vya watu, serikali imeamua kuihairisha na kuipeleka mbele hadi Mwezi November ili watu wapate muda wa kujiandaa vyemaivi hili sakata la ujio wa EL nino limekaaje?? Maana wizara ilitangaza ni kuanzia mwezi wa 9
Na ushapita na amna mvua yoyote..... nyingi zinazonyesha ni rasha rasha tu...
Hii imekaaje?? EL NINO. Ipo kweli?? Ni propaganda za kiselekali na siasa zao za maji taka.....
Weka maoni yako apo chini πππ tunajadiliππ
ni muhimu sana kuchukua hatua muafaka na tahadhari ya uhakika ili asije mtu kulaumu kwamba hakuambiwa.ivi hili sakata la ujio wa EL nino limekaaje?? Maana wizara ilitangaza ni kuanzia mwezi wa 9
Na ushapita na amna mvua yoyote..... nyingi zinazonyesha ni rasha rasha tu...
Hii imekaaje?? EL NINO. Ipo kweli?? Ni propaganda za kiselekali na siasa zao za maji taka.....
Weka maoni yako apo chini πππ tunajadiliππ
Jielimishe el nino sio mvua tu uambatana na joto kali , na kiangazi cha mda mrefuivi hili sakata la ujio wa EL nino limekaaje?? Maana wizara ilitangaza ni kuanzia mwezi wa 9
Na ushapita na amna mvua yoyote..... nyingi zinazonyesha ni rasha rasha tu...
Hii imekaaje?? EL NINO. Ipo kweli?? Ni propaganda za kiselekali na siasa zao za maji taka.....
Weka maoni yako apo chini πππ tunajadiliππ
WIKI YA KWANZA YA OCTOBA KASKAZINI NA PWANI YA KASKAZINI MIKOA YA MANYARA ARUSHA NA TANGA DAR PWANI PEMBA NA UNGUJA.SEPTEMBA MWISHO KWA KANDA YA ZIWA VICTORIA.JE MTUAMBIE MLIOKO MARA MWAN9A GEITA NA BUKOBA INANYESHA SAHIVI
Point kubwa hapo ni zile bilioni 700+ zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na hiyo El Nino!! Zitatafunwa hizo hela, acha kabisa.
Nilivyoona CCM wanahusika nikajua ni kichaka cha kupigia pesa tu, hakuna lolote endelea kula maisha.
Sio vyote lakini vitatokea sehemu moja. Na kwa upande wa Afrika Mashariki mvua kubwa ndiyo kilichotarajiwa kutokea.Jielimishe el nino sio mvua tu uambatana na joto kali , na kiangazi cha mda mrefu
Baada ya kusikia vilio vya watu, serikali meamua kuihairisha na kuipeleka mbele hadi Mwezi November ili watu wapate muda wa kujiandaa vyema
Kama ulikuwepo!Point kubwa hapo ni zile bilioni 700+ zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na hiyo El Nino!! Zitatafunwa hizo hela, acha kabisa.
Hakuna cha El nino wala nini , tulishazuia mvua katika jina la YESU wa nazaleth aliye hai
ni muhimu sana kuchukua hatua muafaka na tahadhari ya uhakika ili asije mtu kulaumu kwamba hakuambiwa.
ni vizuri kujiepusha na mizaha kwenye mambo hatari kama haya gentleman π
Na hela washagawana ngoja isije watatutambua vizuriivi hili sakata la ujio wa EL nino limekaaje?? Maana wizara ilitangaza ni kuanzia mwezi wa 9
Na ushapita na amna mvua yoyote..... nyingi zinazonyesha ni rasha rasha tu...
Hii imekaaje?? EL NINO. Ipo kweli?? Ni propaganda za kiselekali na siasa zao za maji taka.....
Weka maoni yako apo chini πππ tunajadiliππ
Jielimishe el nino sio mvua tu uambatana na joto kali , na kiangazi cha mda mrefu
MA fisi emu yanatoa mate kwenye hela ya mtanganyika hatariHapo ndo patamuπππ
Gentleman,Amna hapa tunajadili... ili kujua kama iyo el nino ni kweli ipo..... au ni michozo michezo...