Ujio wa Alien duniani

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
85
Annunaki. Inasemekana walikuja duniani miaka mingi iliyopita na kuna mambo yalifanyika.

Kifupi huku walikotoka walipata majanga kwenye vyombo chao (space ship) hivyo wakatakiwa kurekebisha chombo chao ambacho kilihitajika dhahabu ili kiwe sawa lakini sayari pekee iliyokuwa na dhahabu ilikuwa dunia.

Basi ilikuharakisha kazi binadamu akatumika kwenye machombo ya dhahabu na mpaka sasa kunasehemu huko Africa ya kusiini inayoshangaza kwa kuwa na migodi ya dhahabu ya miaka mingi iliyopita kabla ya binadamu wa sasa kuanza kuchimba tena.

Basi wakati wakifanya shughuli hiyo ya uchimbaji wakawaona wanawake wa binadamu na kuwatamani hivyo wengine wakapata watoto nao lakini watoto wale hawakukubalika na jamii yao hivyo wakabaki kuwa hapa duniani basi kutokana na akili na uwezo wa watoto wale binadamu wakawaita miungu.

Katika maandiko ya kidini tumaambiwa walizaliwa watu wakubwa sana Giant

Hii ni kwa kifupi je niendelee au nimewaacha
5e554e351cb6d1df8f962ea0a8636a40.jpg
 
Nikajua ndiyo wapo njiani wanakuja tena .. ahsante kwa Uzi .😊
 
Let's Reason Together People.

1. Aliens ambao wametoka nje ya dunia spaceship yao imepata hitilafu.

2. Ili kuitengeneza wanahitaji dhahabu ambayo ipo duniani tu.

Je hiyo spaceship ilitoka vipi huko ilipotoka mpaka kufika ilipokuwa imefika bila hiyo dhahabu ambayo inapatikana duniani tu?

Jipange upya.
 
Unahitajika pia kufanya research kidogo na wewe kuhusu hivi vitu lakini asilimia Kubwa ya wnajf hukimbilia kukosoa na kudisapoint kila kitu kinachowekwa hapa bila ya kufanya utafiti wao kwanza
 
Unahitajika pia kufanya research kidogo na wewe kuhusu hivi vitu lakini asilimia Kubwa ya wnajf hukimbilia kukosoa na kudisapoint kila kitu kinachowekwa hapa bila ya kufanya utafiti wao kwanza
Nigga unaleta uzi ili tufanye research sisi wasomaji kubaini ukweli? 😣😣

Hiyo research ulitakiwa kufanya wewe ili unapoleta humu tukikusoma tupatane na facts tu sio porojo ambazo haziungi.
 
Sa mkuu wangu ina maana we umefanya research kweli? Mana uandishi unaonesha kama umesimuliwa tena very partial yani.. Ushauri wangu, rudi kwenye hiyo source hata kama ni ya kinge, copy uje ku paste we can atleast understand.
 
Back
Top Bottom