Ujinga

Ujinga

Isco

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
20
Reaction score
2
ujinga ni kumuulza mlinz "et umeamkaje"........?
 
Na upumbafu ni kujibu ---nimeamka salama leo wezi hawakuja
 
> Aidha ni ujinga kutoa Ndizi-matoke Dar , ukapeleka Bkb!
> Ni upumbavu kupeleka marobota ya mabrangeti Dar, Tanga, na Mombasa!
> Pia ni uhayawani kupeleka kuuza cd za Taarabu, Tarime, Shirati, Kowak, na Utegi.
 
Ujinga ni kulazimisha kupenda asiyekupenda
 
> Aidha ni ujinga kutoa Ndizi-matoke Dar , ukapeleka Bkb!
> Ni upumbavu kupeleka marobota ya mabrangeti Dar, Tanga, na Mombasa!
> Pia ni uhayawani kupeleka kuuza cd za Taarabu, Tarime, Shirati, Kowak, na Utegi.

na pia kuifanyia lamination ATM card
 
na pia kumuambia m2 "I love u'' alaf unasubir jbu wkt hlo co swali......
Hahahaahahaa! Kumbe siyo swali ila tunasubiri jibu, Ama kweli JF ni zaidi ya uijuavyo ! Loh!
 
kupiga magoti mbele ya ATM MACHINE na kuiomba japo buku moja ukale .........huo ni unini?
 
Ujinga ni kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi
 
Ujinga ni kuzani SUMA LEE na JET LEE ni mtu na kaka yake!
 
ujinga ni kujifanya star wakati daily kwa waganga wa kienyeji
 
Ujinga ni kufuta namba ya mtu kwenye simu wakati kichwani unayo, yan hata ukishtuliwa usingizini unaitaja.
 
Back
Top Bottom