Ujinga watu hufanya facebook!

facebook- mwanaume akiandika status like 2 comment 3 lkn mwanamke akiandika status like 18 comment 22 hyo ndo facebook!
 
<br />
<br />
6 kuweka picha za sehemu za starehe tu kudanganya watu kuwa hayo ndo maisha yako 24/7
7 kupost mambo ya ofisini kila dakika kujionesha upo bize ama wewe ni mtu muhimu sana kazini kwako
8 kuweka kila siku picha upo ofisini kwako kama vile umefunga ndoa na ofisi yako
 
mtu akiupload picha hata kama hapendezi watu watacomment.....ur so beautiful,so handsome.
 
Kutag mtu picha za ajabu bila ridhaa yake!
Kuadd watu kwa group za ajabu without thr concern.
 
Endeleeni kuuza sura na muyaonayo huko yaachieni hukohuko.
 
<br />
<br />
Akiwa friend na baadae ukaona anafaa kuwa wife kipi kitazuia ma moyo ushapenda?
 
mtu akiupload picha hata kama hapendezi watu watacomment.....ur so beautiful,so handsome.
Naona wamekuleta uwanja wa nyumbani!
Waambie pia wewe ni mod wa ile page yako!
 
Nimipenda hiyo 3 & 5. Thats true
 
kuna wengine mnakashifu fb lakini hizo hizo tabia za kijinga huwa mnazifanya bar,maofisin,wengine humu ndani mnachakachuana sana tu...
 

sawa ankali fundi nimekupata..
 
Haya mambo ya fb yamefuata nini huku jf. Si kuna forum za fb?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…