Kakuta mashine hazifanyi kazi kafukuza bodi nzima wakati hela za kutengeneza wanatoa wizara kupitia hazina. Sasa nashindwa kuelewa aliwafukuza kwa sababu ipi kisiasa ana kiutendaji
bodi yenyewe muda si ulikuwa umeisha?
Kwahiyo ilikua danganya toto au funika kombe mwanaharamu apite..!
Usanii tu...aah! Tunaenda tu hatuna mipango kama nchi...
siasa ni nini?.
Una Kiingereza kibovu sana. Sasa si afadhali tu uandike kwa Kiswahili?hypocrice of poliician