Ujinga wa MIGA, noah na CHADEMA

Hizo Noah mtazitema,msituletee utani,2020 hapatatosha huku kwa wananchi
 
Sasa Tanzania ingekuwa China nani angebaki? EPA, ESCROW, KIWIRA, NYUMBA ZA SERIKALI, MV NINI SIJUI , hiyo ni mifano tu. Waliosaini mikataba mbovu - sidhani kama tungefika huku na wengi wasingekuwepo.
 
Babu inshort ni hvi ,,,hao ufipa watakutukana bure tu ,,,,coz walishaamua unyumbu tu juu yao,,,kuhusu noah hatakama ikijapatikana hela kiasi cha kukizi ni bora iwekezwe kwenye miradi mikubwa yenye manufaa kwa inchii ,,,naona kuna wapumbavu kana mtatiro ,kwinyara wanakaa kulia tumekosa noah ,,,wanawaza matumbo yao zaidi ya manufaa kwa taifa hii ndio upinzani wa sas
 
Nadhani ukiona noah hata ikipita njiani waweza ilenga na jiwe...kwa sasa kila mwana ccm akisikia neno noah anapata kiungulia kikali mno shingoni sijui kwa nini lakini
 
Pamoja na sheria au elimu zote tunazosoma, kitu muhimu kuliko vyote katika kuzitumia ni akili ya kawaida (common sense).
Chukua sana tahadhari ukiwa na mpumbavu asije akakuvunja jicho.
Pia mjibu au mtendee mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake ili mambo yako yaende.
 
Hapa ni Tanzania! Wachina waachie uchina wao!
 
Yuko nyayo anasogezewa kopo la kunyea
 
Eti tunamtegemea Prof. Kibudu aridhiane na wazungu kwa niaba yetu. Pumbavu kabisa. Tumekosa vyote sasa, si trilioni 425 za kodi wala zile $ mil. 300 za kujenga uaminifu. Sasa CCM na Dikteta wao wamebaki kupayuka tu huku wameinamia chini kwa aibu mithili ya msukule aliyefumaniwa. Pumbavu kabisa, ziko wapi Noah zetu!?
 
Nakuunga mkono mkuu.huyu mtu anaeitwa wakili msomi tundu lissu hana tofauti na ndabaningi sithole na abel mzolewa.watetez wakubwa wa walowezi.mshahara wa msaliti ni mmoja tu.
Hebu kueni na aibu hata kidogo basi aliewafikisha kwenye hiyo vita yenu ni nani?
Kwa nini mnalaumu wasio husika?
Lisu alikuwepo wakati hiyo mikataba?
Hiyo ni vita yenu ya ndani malizaneni wenyewe huko wala hawalazimiki kuwaungu mkono.
 
Kwa hiyo WAKILI MSOMI alikosea aidha kwa kutojua, kwa makusudi au kwa jazba kusema MIGA ni convention. Ni ishara ya uelewa finyu sana kuhusu CONVENTIONS. Inatia shaka sifa ya USOMI MAHIRI ikiwa WAKILI MAHIRI hajui CONVENTION ni nini!
Wenyewe wanasema:
MIGA Convention
"The Convention Establishing the Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) was submitted to the Board of Governors of the International Bank for Reconstruction and Development on October 11, 1985, and went into effect on April 12, 1988. The Convention was amended by the Council of Governors of MIGA effective November 14, 2010" Source:MIGA Convention. MIGA convention ndo convention iliyo eastablish MIGA the agency. Miga Convention ndo rules of the game na MIGA the agency ni player ambae anasimamia hizo rules of the game. Nani mwenye uelewa finyu hapa TL au Trump wa JF. Amua mwenyewe.
 
Hizo Noah kwani tuliziomba??si Sizonje ndio alimwambia Prof Uchwara aiweke hiyo ili kunogesha report yake ilipobuma ndio sisi tukajichagulia kunywa Balimi badala ya Castle light au Windhock kutokana na hali yetu ya kifedha ilivyo.
 
Hayo manyumbu acha yanyumulike,unasubiri Noah mwanaume mzima umening'iniza ...yako nyumbani bila kazi hiyo Ni akili kweli,
kwani si ndivyo walivyoambiwa kwenye ripot ya makinikia kuwa kiasi walichoibiwa kinafika noah noja kwa kila mtanzania
 
Huyo Lissu wenu alisema Tanzania itashitakiwa kwa sababu ya kuzuia makinikia,watu mkamshangilia ,haya wakati mnasubiri Noah zenu na sisi tunasubiri Tanzania ishitakiwe mahakama ya kimataifa kwa kuzuia makinikia Kama alivyosema huyo Tundu Lissu
 
Nyie watu tafuteni cha kufanya, mnazid kujidhalilisha na uvichwa panzi wenu.
Aibu hii sasa umeandika nini?
 
Mbona mnaandika kitu kile kile lakini mnaleta mabandiko kila sekunde? Hapo Ofisini kwenu leo hakuna wa kuwasimamia?
Hawa watu wanaboa..hivi wamefikia ukomo wa kufikiri ama ndio majukum yao lazima post ziende hewani? Kama ndio hvyo hizi kazi bora wazikatae mana zina wavua nguo.
 
Sasa Tanzania ingekuwa China nani angebaki? EPA, ESCROW, KIWIRA, NYUMBA ZA SERIKALI, MV NINI SIJUI , hiyo ni mifano tu. Waliosaini mikataba mbovu - sidhani kama tungefika huku na wengi wasingekuwepo.
Hata huyu anaeleta drama asingekuwepo hahahahahaa..
 
Mbona unasema watanzania sema wewe ukoo Wa kinabo usinijumuishe tena kwenye utumbo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…