Anaandika mtanganyika halisi kuhusu kuropoka kwa wakili msomi na mahiri,post hii imfikie hukoNairobi
Lilipoanza sakata la makanikia kati ya kampuni ya Acacia na Serekali ya Tanzania na hatimae kulazimisha mwenye hisa kuu kampuni ya Barrick Ltd kubeba dhamana ya kutafuta suluhu alitokea anayeitwa WAKILI MAHIRI na kudai mambo mawili yote yakitaka serikali isizuie mali zilizokuwa zikitoroshwa. Hoja zake kuu zilikuwa mbili:
1. Kuna kitu inaitwa MIGA. Kwa kukurupuka kwake akaelezea MIGA kama Convention na hapohapo akatoa kirefu cha MIGA ambacho kinaonyesha MIGA ni Agency. Ukweli ni kuwa MIGA ni Agency. Ni taasisi ya arbitration (kutafuta suluhu).
MIGA si conventiom (Mkataba) kama alivyoropoka. Convention au Treaty au Agreement hufikiwa chini ya usimamizi wa au kwa niaba ya UN (Umoja wa Mataifa) au Kikundi cha Nchi. Mifano: ILO Convention on Freedom of Association and Collective Bargaining, UN Treaty on Non Proliferation of Nuclear Weapons, UN Framework Convention on Climate Change, UN Convention on Combating Deforestation and Desertification? Iran Nuclear Treaty, East Africa Treaty, etc.
Convention inaridhiwa kati ya nchi na nchi (Parties). Hata ICC japo ni taasisi msingi wake ni TREATY na waliohusika si kampuni bali nchi.
Kwa hiyo WAKILI MSOMI alikosea aidha kwa kutojua, kwa makusudi au kwa jazba kusema MIGA ni convention. Ni ishara ya uelewa finyu sana kuhusu CONVENTIONS. Inatia shaka sifa ya USOMI MAHIRI ikiwa WAKILI MAHIRI hajui CONVENTION ni nini!
2. WAKILI MSOMI alidai kisheria kuna madini SI MALI YA NCHI bali MALI YA MWEKEZAJI. Akimaanisha kuwa kitendo cha kuzuia mali ya mwingine ni uvunjifu wa sheria za kimataifa au makubaliano chini ya MIGA. Matukio ya BARICK kukubali kukaa meza moja na serikali ni ushahidi tosha kuwa MWANASHERIA MAHIRI alikuwa hajui asemacho, aliongopa au aliropoka. Ambaye alitaka tuamini tumezuia mali yake kakubali ana mapungufu na atayasahihisha. Ni ajabu na kioja ambaye tuliambiwa tunamdhulumu atende hivi!
Hoja zote mbili zimeingia shombo. Ingefaa sana MWANASHERIA MAHIRI angetueleza ni vipi MIGA haikutubamiza kama alivyoonya? Ni vipi alotuambia tunamdhulumu kwa kumzuia asiuze madini kaja kutafuta suluhu?
Hizi hadithi za kuwa kila mtu aliahidiwa Noah, tumepunjwa au waliongia mikataba washitakiwe ni njia ya hovyo ya kufunika fedheha!
Hivi tungefuata ushauri wa MWANASHERIA MAHIRI wangejadili vipi kupunjika? Wangepata vipi hizo Noah kwa kuachia madini yaibwe?
Hivi ingekuwa China MWANASHERIA MAHIRI angebaki salama? Yaani Rais atetee madini yasiibwe utoke huko na joho lako jeusi umwambie ACHA TUTASHITAKIWA tena upotoshe bado wakuache?
Watanzania wengi tunasema hata kama raisi angeokoa nusu kilo ya dhahabu TUKO PAMOJA NAYE
Wanaosubiri NOAH kila mtu yake huku wanasoma ALBADIRI na waendelee kusubiri.
TANZANIA KWANZA MADINI YETU KWANZA NOAH BAADAE
Hapa ndipo unapoongea kimba tupu. Hata FIFA ni NGO tuu ila angalia inavyoendesha dunia. SASA ULIDHANI USSULUHISHI UTAFANYIKA WAPI NA WATU WAUKUBALI?....
1. Kuna kitu inaitwa MIGA. Kwa kukurupuka kwake akaelezea MIGA kama Convention na hapohapo akatoa kirefu cha MIGA ambacho kinaonyesha MIGA ni Agency. Ukweli ni kuwa MIGA ni Agency. Ni taasisi ya arbitration (kutafuta suluhu).
......
Umepanic broKatika wapumbaff wewe kiongozi wao sasa hapa umekuja na ushuzi wako kueleza nini??
Makala murua sana. Nimefarijika kuisoma tangu mwanzo hadi nukta ya mwisho.Anaandika mtanganyika halisi kuhusu kuropoka kwa wakili msomi na mahiri,post hii imfikie hukoNairobi
Lilipoanza sakata la makanikia kati ya kampuni ya Acacia na Serekali ya Tanzania na hatimae kulazimisha mwenye hisa kuu kampuni ya Barrick Ltd kubeba dhamana ya kutafuta suluhu alitokea anayeitwa WAKILI MAHIRI na kudai mambo mawili yote yakitaka serikali isizuie mali zilizokuwa zikitoroshwa. Hoja zake kuu zilikuwa mbili:
1. Kuna kitu inaitwa MIGA. Kwa kukurupuka kwake akaelezea MIGA kama Convention na hapohapo akatoa kirefu cha MIGA ambacho kinaonyesha MIGA ni Agency. Ukweli ni kuwa MIGA ni Agency. Ni taasisi ya arbitration (kutafuta suluhu).
MIGA si conventiom (Mkataba) kama alivyoropoka. Convention au Treaty au Agreement hufikiwa chini ya usimamizi wa au kwa niaba ya UN (Umoja wa Mataifa) au Kikundi cha Nchi. Mifano: ILO Convention on Freedom of Association and Collective Bargaining, UN Treaty on Non Proliferation of Nuclear Weapons, UN Framework Convention on Climate Change, UN Convention on Combating Deforestation and Desertification? Iran Nuclear Treaty, East Africa Treaty, etc.
Convention inaridhiwa kati ya nchi na nchi (Parties). Hata ICC japo ni taasisi msingi wake ni TREATY na waliohusika si kampuni bali nchi.
Kwa hiyo WAKILI MSOMI alikosea aidha kwa kutojua, kwa makusudi au kwa jazba kusema MIGA ni convention. Ni ishara ya uelewa finyu sana kuhusu CONVENTIONS. Inatia shaka sifa ya USOMI MAHIRI ikiwa WAKILI MAHIRI hajui CONVENTION ni nini!
2. WAKILI MSOMI alidai kisheria kuna madini SI MALI YA NCHI bali MALI YA MWEKEZAJI. Akimaanisha kuwa kitendo cha kuzuia mali ya mwingine ni uvunjifu wa sheria za kimataifa au makubaliano chini ya MIGA. Matukio ya BARICK kukubali kukaa meza moja na serikali ni ushahidi tosha kuwa MWANASHERIA MAHIRI alikuwa hajui asemacho, aliongopa au aliropoka. Ambaye alitaka tuamini tumezuia mali yake kakubali ana mapungufu na atayasahihisha. Ni ajabu na kioja ambaye tuliambiwa tunamdhulumu atende hivi!
Hoja zote mbili zimeingia shombo. Ingefaa sana MWANASHERIA MAHIRI angetueleza ni vipi MIGA haikutubamiza kama alivyoonya? Ni vipi alotuambia tunamdhulumu kwa kumzuia asiuze madini kaja kutafuta suluhu?
Hizi hadithi za kuwa kila mtu aliahidiwa Noah, tumepunjwa au waliongia mikataba washitakiwe ni njia ya hovyo ya kufunika fedheha!
Hivi tungefuata ushauri wa MWANASHERIA MAHIRI wangejadili vipi kupunjika? Wangepata vipi hizo Noah kwa kuachia madini yaibwe?
Hivi ingekuwa China MWANASHERIA MAHIRI angebaki salama? Yaani Rais atetee madini yasiibwe utoke huko na joho lako jeusi umwambie ACHA TUTASHITAKIWA tena upotoshe bado wakuache?
Watanzania wengi tunasema hata kama raisi angeokoa nusu kilo ya dhahabu TUKO PAMOJA NAYE
Wanaosubiri NOAH kila mtu yake huku wanasoma ALBADIRI na waendelee kusubiri.
TANZANIA KWANZA MADINI YETU KWANZA NOAH BAADAE
Miga is with our bomadierAnaandika mtanganyika halisi kuhusu kuropoka kwa wakili msomi na mahiri,post hii imfikie hukoNairobi

Nakuunga mkono mkuu.huyu mtu anaeitwa wakili msomi tundu lissu hana tofauti na ndabaningi sithole na abel mzolewa.watetez wakubwa wa walowezi.mshahara wa msaliti ni mmoja tu.Katika wapumbaff wewe kiongozi wao sasa hapa umekuja na ushuzi wako kueleza nini??
Wenzetu CHINA hawana utani hata chembe juu ya mchina yeyote anayejaribu kusaliti na kuhujumu uchumi wa CHINA.
Unaambiwa, CHINA hakuna mropokaji.
Ukisikika tu unaropoka mambo ya ovyo ovyo, utakachokipata, huji kuropoka tena chini ya jua.