Ujinga wa Freeman Mbowe dhihaka kwa Taifa

Status
Not open for further replies.

karazai

Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
24
Reaction score
3
Freeman Mbowe ni nani wewe wa kuamua utakalo na wabunge wote kulifuata!

,tumeshuhudia mjadala ukiendelea kwa maridhiano na balance ya makusanyo ya maoni yote.

Tumeshuhudia vipengele vi nne vilipita kutokana na maoni ya zitto na viwili kutokana na maoni ya Lissu! Hapo Freeman kwake ilikua haki kwa kua yalienda atakavyo/watakavyo wao!!

Kwenye uchambuzi dhidi ya mapendekezo ya Waziri Nishati na Madini + AG, hoja ya msingi ni ktk formulation ambapo wachangiaji waliochangia lugha stahiki ju ya mamlaka teuzi,kwa kutofurahisha matakwa ya "UKAWA" imekua nongwa!!

Najiuliza,UKAWA wanataka kudhihirisha nini kwa Watanzania?

Mapendekezo ya Lissu yalipopita hawakutambua walio wengi yaani "CCM" ndio walio bariki.

Zitto pia ilikua sawa.

Lakini tumeshuhudia walipokua wajenga hoja wengine na kutoa michango tofauti na matakwa yao ilikua kero na uvumilivu kuwaisha!!

Nini tafsiri yake?

Zitto aliposema yaende kwa ujumla wake kama mapendekezo ya Chenge walimgeukia na kumbadilikia!

Tafsiri yake walihitaji kusemwa waliyokwisha kubaliana nje ya kikao kabla ya kikao! Je tutafika?

Tuache ushabiki tujadili kiuzalendo.
 
Mods delete hii kitu hakuna hoja hapa zaidi ya uchochezi
 
mods futa ugoro huu..iq hii mtaani kwetu ni level ya matahaira.
 
Mbowe Mungu wa wapinzani ! Hata angewaamuru watu wake wote wavue nguo, wangevua!
 
Wewe ni mpumbavu, wanachokifanya CCM ni kusababisha kutokea kwa makundi kama ya Alshabab, Boko Haram nk
 
mjinga ni wewe fal.... mkubwa stupidd stupidd stupid
 
Huna jipya sisi wananchi huku nje tunawasubiri kwa hamu. Kumbuka tuna kadi za CCM na sio CHADEMA sisi. Kama hamuamini tutawaonesha kazi. Iweje mtuhumiwa apewe nafasi ya kujipatia hukumu?
 
Unataka kujua Mbowe ni nani? rudia kuangalia bunge la jana usiku uone Bi.Kiroboto alivyokuwa anatokwa na jasho. Jiulize kwanini bunge liliahirishwa licha kukaa kwa zaidi ya saa 5 mfululizo. "Safari hii Mwanaharamu hapiti"
 
Freeman Mbowe ni nani wewe wa kuamua utakalo na wabunge wote kulifuata!

,tumeshuhudia mjadala ukiendelea kwa maridhiano na balance ya makusanyo ya maoni yote.

Tumeshuhudia vipengele vi nne vilipita kutokana na maoni ya zitto na viwili kutokana na maoni ya Lissu! Hapo Freeman kwake ilikua haki kwa kua yalienda atakavyo/watakavyo wao!!

Kwenye uchambuzi dhidi ya mapendekezo ya Waziri Nishati na Madini + AG, hoja ya msingi ni ktk formulation ambapo wachangiaji waliochangia lugha stahiki ju ya mamlaka teuzi,kwa kutofurahisha matakwa ya "UKAWA" imekua nongwa!!

Najiuliza,UKAWA wanataka kudhihirisha nini kwa Watanzania?

Mapendekezo ya Lissu yalipopita hawakutambua walio wengi yaani "CCM" ndio walio bariki.

Zitto pia ilikua sawa.

Lakini tumeshuhudia walipokua wajenga hoja wengine na kutoa michango tofauti na matakwa yao ilikua kero na uvumilivu kuwaisha!!

Nini tafsiri yake?

Zitto aliposema yaende kwa ujumla wake kama mapendekezo ya Chenge walimgeukia na kumbadilikia!

Tafsiri yake walihitaji kusemwa waliyokwisha kubaliana nje ya kikao kabla ya kikao! Je tutafika?

Tuache ushabiki tujadili kiuzalendo.

Nenda kwenye party caucas ukamezeshwe propaganda za kutosha hizi hazina nguvu. Chezeni tena vigodoro kama mlivyofanya kwenye bunge la katiba. Za mwizi arobaini.
 
Freeman Mbowe ni nani wewe wa kuamua utakalo na wabunge wote kulifuata!

,tumeshuhudia mjadala ukiendelea kwa maridhiano na balance ya makusanyo ya maoni yote.

Tumeshuhudia vipengele vi nne vilipita kutokana na maoni ya zitto na viwili kutokana na maoni ya Lissu! Hapo Freeman kwake ilikua haki kwa kua yalienda atakavyo/watakavyo wao!!

Kwenye uchambuzi dhidi ya mapendekezo ya Waziri Nishati na Madini + AG, hoja ya msingi ni ktk formulation ambapo wachangiaji waliochangia lugha stahiki ju ya mamlaka teuzi,kwa kutofurahisha matakwa ya "UKAWA" imekua nongwa!!

Najiuliza,UKAWA wanataka kudhihirisha nini kwa Watanzania?

Mapendekezo ya Lissu yalipopita hawakutambua walio wengi yaani "CCM" ndio walio bariki.

Zitto pia ilikua sawa.

Lakini tumeshuhudia walipokua wajenga hoja wengine na kutoa michango tofauti na matakwa yao ilikua kero na uvumilivu kuwaisha!!

Nini tafsiri yake?

Zitto aliposema yaende kwa ujumla wake kama mapendekezo ya Chenge walimgeukia na kumbadilikia!

Tafsiri yake walihitaji kusemwa waliyokwisha kubaliana nje ya kikao kabla ya kikao! Je tutafika?

Tuache ushabiki tujadili kiuzalendo.

Hujaliona kosa la Zitto umeliona la Mbowe!Kwa nini unalipersonalise hili jambo
 
hili povu ulilo tema hapa si bure,ni joto hasira.mbowe katibua mkakati wenu ambao ulikuwa unaenda kuzaa matunda ili mwisho wa siku mjipongeze kwa mvinyo na nyama choma mkiwa sambamba na mafisadi.
rudini mezani mkachore mchoro mpya before it's too late.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom