Ujinga upumbavu wa washabiki wa yanga

Ujinga upumbavu wa washabiki wa yanga

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
katika mashabiki wa mpira wa miguu wapumbavu nchi hii ni mashabiki wa yanga.
wao kazi yao kuwatuhumu wachezaji wazuri wa timu yao mara hawajui kucheza,wanahujumu timu mnalaana ya wapi wacheni ujinga na upumbavu wenu.kuna siku mtakuja juta.
inashangaza eti kuna wazee kwenye klabu au kuna kundi la vijana wa yanga wanashindwa kukemea tabia hiyo wamekaa kimya kama bundi
 
Kalale wewe,achana na timu ya wananchi.
 
Ukiona mijitu mizima inapiga magoti kumwomba mtu aendelee kuwatawala kwa sababu hakuna mwingine mwenye uwezo huo unategemea nini?Unategemea wawe na uwezo wa kufikiri? Wamejigeuza vikaragosi hawana uamuzi wowote mpaka Sultani aamue. Hata Sultani akitoka bila nguo hakuna anayediriki kumwambia yupo uchi.
 
unatutoa kwenye mada
 
katika mashabiki wa mpira wa miguu wapumbavu nchi hii ni mashabiki wa yanga.
wao kazi yao kuwatuhumu wachezaji wazuri wa timu yao mara hawajui kucheza,wanahujumu timu mnalaana ya wapi wacheni ujinga na upumbavu wenu.kuna siku mtakuja juta.
inashangaza eti kuna wazee kwenye klabu au kuna kundi la vijana wa yanga wanashindwa kukemea tabia hiyo wamekaa kimya kama bundi
Umepoteza muda wako wote kuandika upumbavu kama huu!!
Si bora ungefungua thread ya game ya simba vs mtibwa!!
 
Back
Top Bottom