Ujinga Ni........

Ujinga Ni........

AlWatan Nyuki

New Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
4
Reaction score
10
1. Ujinga ni wezi kugoma na kuandamana wakidai siku za mwizi ziongezwe kutoka 40 hadi 60
2. Ujinga ni shabiki wa Arsenali kuoga na sabuni inaitwa 'USHINDI'
3. Ujinga ni kuweka status Facebook ukisema "Mwisho wa mwezi umefika." alafu Landlord wa nyumba unayoishi ana 'Like'
4. Ujinga ni msichana kuvaa blouse imeandikwa 'Nime-chill' wakati ni mja mzito
5. Ujinga ni kwenda MEDIA HOUSE kuomba kazi ya kuosha 'Vyombo vya habari'
6. Ujinga ni kuuliza kama GENERATOR inatumia stima
7. Ujinga ni kupiga viatu rangi na unaenda kupigwa passport size photo
8. Ujinga ni kuitisha toothpick baada ya kunywa maji
9. Ujinga ni kumpa mtoto wako jina 'TOV' ndio watuu mtaani wakuite 'BABATOV (Berbertov)'
10. Ujinga ni kupaka Ariel rangi ili TV yako ya black and white iwe coloured.
 
ujinga ni kuwa Mtanzania na kuwa mshabiki wa timu za nje ya Tz. Nalog off
 
Ujinga ni kutokubali kuwa FC Barcelona ndo club bora duniani
Ujinga ni kum-dc Messi wakati unajua ndo mchezaji bora wa dunia kwa miaka 3 mfululizo
Ujinga ni kuni-quote baada ya kuwa nimeandika hivi
 
hahahaaahaa! shabiki wa Barcelona kagoma kumquote!!!:lol:
 
Ujinga ni kujifanya unaongea kwa simu kumbe unazuga watu
 
Ujinga ni kukataa Utaifa wako. Kujifanya wewe sio Mmatumbi.
 
1. Ujinga ni wezi kugoma na kuandamana wakidai siku za mwizi ziongezwe kutoka 40 hadi 60
2. Ujinga ni shabiki wa Arsenali kuoga na sabuni inaitwa 'USHINDI'
3. Ujinga ni kuweka status Facebook ukisema "Mwisho wa mwezi umefika." alafu Landlord wa nyumba unayoishi ana 'Like'
4. Ujinga ni msichana kuvaa blouse imeandikwa 'Nime-chill' wakati ni mja mzito
5. Ujinga ni kwenda MEDIA HOUSE kuomba kazi ya kuosha 'Vyombo vya habari'
6. Ujinga ni kuuliza kama GENERATOR inatumia stima
7. Ujinga ni kupiga viatu rangi na unaenda kupigwa passport size photo
8. Ujinga ni kuitisha toothpick baada ya kunywa maji
9. Ujinga ni kumpa mtoto wako jina 'TOV' ndio watuu mtaani wakuite 'BABATOV (Berbertov)'
10. Ujinga ni kupaka Ariel rangi ili TV yako ya black and white iwe coloured.

ha ha a ha ha ha ha ha ha ha:lol::lol::lol: umefunga hii wiki mkuu
 
ujinga ni kufanya biashara ikulu ukiwa presidaa.
ujinga ni kutumia hela zako kutafuta uongozi.
ujinga ni kuongaza nchi ambayo hujui chanzo cha umaskini wake.
ujinga ni kwenda jimboni kwako kuelimisha kuhusu mchakato wa katiba halafu unakuta ni wajanja kuliko wewe(unazomewa)
ujinga ni kudandia treni kwa mbele(mahakama ya kadhi na katiba mpya)
ujinga ni .............................
 
Back
Top Bottom