Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,742 Reaction score 1,743 Aug 20, 2020 #1 Ujinga ni kuchukia unapofumania wakati we mwenyewe una michepuko ya kushato! Ujinga ni kushabikia waliokunyima ajira waendelee kukunyima Ujinga ni kupanga foleni ya NIDA na hujajaza hata ile form ya kukutambulisha Ujinga upo mwingi ila wewe unahisi ujinga ni nn?
Ujinga ni kuchukia unapofumania wakati we mwenyewe una michepuko ya kushato! Ujinga ni kushabikia waliokunyima ajira waendelee kukunyima Ujinga ni kupanga foleni ya NIDA na hujajaza hata ile form ya kukutambulisha Ujinga upo mwingi ila wewe unahisi ujinga ni nn?
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,478 Reaction score 32,730 Aug 20, 2020 #2 ujinga ni kuandika huu uzi
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,723 Aug 20, 2020 #3 Ujinga ni kutokujua kusoma au kuandika
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,251 Reaction score 11,446 Aug 20, 2020 #4 Mkuu uliishia wapi na kilimo cha matikiti maji? Mbona ulisema utaleta mrejesho afu kimya? Ulisema umeacha kazi serikalini, vipi life la ajira na la mtaani utofauti wake umeonaje?
Mkuu uliishia wapi na kilimo cha matikiti maji? Mbona ulisema utaleta mrejesho afu kimya? Ulisema umeacha kazi serikalini, vipi life la ajira na la mtaani utofauti wake umeonaje?
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,861 Reaction score 8,526 Aug 20, 2020 #5 Ujinga ni kudai Bitcoin 300 wakati ume hack website ya kampuni kubwa
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,797 Reaction score 9,024 Aug 20, 2020 #6 Mrejesho si ndio huu yani kukacha ajiri kwenda kulima tikiti[emoji3]
Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,742 Reaction score 1,743 Aug 21, 2020 Thread starter #7 sawima said: Mrejesho si ndio huu yani kukacha ajiri kwenda kulima tikiti[emoji3] Click to expand... sikuacha ajira kwenda kulima tikiti nimeacha ajira nimejiajiri nafanya biashara spares za pkpk nasafirisha samaki na nalima pia nw nalima kitunguu
sawima said: Mrejesho si ndio huu yani kukacha ajiri kwenda kulima tikiti[emoji3] Click to expand... sikuacha ajira kwenda kulima tikiti nimeacha ajira nimejiajiri nafanya biashara spares za pkpk nasafirisha samaki na nalima pia nw nalima kitunguu
Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,742 Reaction score 1,743 Aug 21, 2020 Thread starter #8 monopoly inc said: Mkuu uliishia wapi na kilimo cha matikiti maji? Mbona ulisema utaleta mrejesho afu kimya? Ulisema umeacha kazi serikalini, vipi life la ajira na la mtaani utofauti wake umeonaje? Click to expand... nalima kitunguu boss na nafanya biashara bado week hii ntakua free ntaleta mrejesho
monopoly inc said: Mkuu uliishia wapi na kilimo cha matikiti maji? Mbona ulisema utaleta mrejesho afu kimya? Ulisema umeacha kazi serikalini, vipi life la ajira na la mtaani utofauti wake umeonaje? Click to expand... nalima kitunguu boss na nafanya biashara bado week hii ntakua free ntaleta mrejesho
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,797 Reaction score 9,024 Aug 21, 2020 #9 Jenseny said: sikuacha ajira kwenda kulima tikiti nimeacha ajira nimejiajiri nafanya biashara spares za pkpk nasafirisha samaki na nalima pia nw nalima kitunguu Click to expand... Hongera sana mkuu kwa kuthubutu.
Jenseny said: sikuacha ajira kwenda kulima tikiti nimeacha ajira nimejiajiri nafanya biashara spares za pkpk nasafirisha samaki na nalima pia nw nalima kitunguu Click to expand... Hongera sana mkuu kwa kuthubutu.