Ujinga n........................

Ujinga n........................

Ujinga ni kupoteza muda mwingi kuwaza ngono badala ya kuwaza kazi.
 
Ujinga ni kutoa mimba afu unabeba na kulala na midoli
 
ujinga ni kushabikia chama cha siasa badala ya kuangalia kiongozi bora
 
Ujinga ni kufua kondom baada ya kutumia na kukodisha kwa wanakijiji kama chombo cha kut-mb-e-a.
 
Ujinga ni kumfatilia mtu ambaye hakuwazi hata kidogo maishani mwake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ujinga ni kumpenda mtu asiekujua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ujinga ni kudhani kila anayekutongoza anakupenda wengine wapitaji tuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ujinga ni....
kufikiri kwamba ipo siku taifa staz watashiriki kombe la dunia
 
Back
Top Bottom