Ujerumani yampitisha Merkel kugombea muhula wa 4

Ujerumani yampitisha Merkel kugombea muhula wa 4

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,133
Reaction score
1,668
Angela Merkel aechaguliwa kuwa Kansela wa Ujerumani kwa Mara ya nne, ikiwa ni miezi sita imepitatangia ucahguzi wa kitaifa umalizike, na kuleta mwisho wa mkwamo mrefu wa madaraka katika Historia ya Ujerumani

Merkel alipata kura 364 kati ya 709 zilizopigwa Bungeni, ikiwa ni kura 11 zaidi ya zinazotakiwa kushinda


Wakati watu waki kosoa yanayoendelea Afrika ya ubadirishaji wa katiba ili waliopo kuendelea kuongoza, huko Ujerumani wamempa Merkel muhula wa 4 aendelee kuongoza.
Tumesikia China wakimpa Xi ruhusa ya kutawala milele.
Sizonje naye ajipe miaka 7 tu, itakuwa poa vilevile
=========================================
Angela Merkel has been voted in as Germany’s chancellor for the fourth time, almost six months since the national election, bringing to an end the longest power hiatus in the country’s postwar history.

She received 364 out of 709 votes in the first round of voting in parliament – 11 more than required to gain an absolute majority, but also 35 fewer than if all the members of her next governing coalition had cast their ballot in her favour.

Merkel’s Christian Democrats and the Social Democrats, who have agreed to re-enter a grand coalition together, have a total of 399 votes between them.

“A clear vote and a smooth start,” tweeted Annegret Kramp-Karrenbauer, the new general secretary of Merkel’s Christian Democratic Union. “Now full steam ahead for Germany.”

As the chancellor received standing ovations, handshakes and bouquets of flowers from delegates across the political spectrum, she was watched over by her 89-year-old mother Herlind Kasner, seated on the Bundestag’s gallery next to Merkel’s long-term adviser Beate Baumann and husband Joachim Sauer.

After Merkel’s reelection she will immediately travel to Schloss Bellevue to receive a letter of appointment by President Frank-Walter Steinmeier, before heading back to the Bundestag in order to take the oath of office. Later in the day, the new government ministers are also expected to be sworn in before the cabinet meets for the first time this afternoon.

The pressure will be on the new government to immediately get down to business, after months of horse-trading and delayed decision-making. Merkel said on Monday her new government’s focus would be on integrating refugees as well as increasing state powers to extradite people who had no right of residence. She has also stressed the necessity of securing Germany’s borders, and developing policies to mitigate the causes of migration.

1300.jpg

German elections 2017: full results
The grand coalition was initially seen as an unlikely constellation after the election on 24 September, when Merkel’s conservative alliance, the pro-business FDP and the environmentalist Greens strove to create a so-called “Jamaica” coalition. But after those talks collapsed spectacularly, both the conservatives and the SPD came under pressure to revive the grand coalition, which has governed Germany for the majority of Merkel’s time in office.

Wolfgang Kubicki, deputy leader of the pro-business Free Democrats, said of the result of Wednesday vote: “That was closer than we expected. It shows that the grand coalition is actually going to be a small coalition”.

The reformation of grand coalition means the far-right Alternative für Deutschland becomes the large opposition party in the Bundestag.
 
Wakifanya wao? Ni sawa. Akifanya Museveni, Mugabe, Kagame, Biya et al, ni kosa kubwa na ''kudumaza demokrasia". Ndo maana akina JPM wanawaza kufanya figusu wajiongezee mpaka atleast term ya miaka 7. Learning well from the West.
 
Ndiyo trend ya dunia sasa hivi...kama kiongozi anaperform haina gere anapewa maisha!! Ila kama ana underperform mmm au analeta sintofahamu mbona hapo kazi!!
tatizo ni jinsi ya kupima hiyo performance. Kwa mfano, wanasema PaKa ana perform wakati huohuo anakosolewa kuwa anataka kutawala maisha
 
Mara paaaaap Wananchi wa Nchi 'ile' waandamana kuomba mh. Rais aongezewe miaka ya kutawala na yeye ajibu:

"MIMI NIMETUMWA KUTUMIKIA WANYONGE,KAMA WANAONA NAFAA KWANINI NIWAKATALIE" teh teh
teh teh teh
kama wanyonge wanataka niendelee, mimi naanzaje kuwakatalia?
hatare sana
 
Dhana ya demokrasia ni pana sana.....Sisi waafrika mind zetu zimekuwa narrowed down na kufikiri demokraisa ni kama ilivyo Marekani
yaani mkuu hapa ndipo tunapoharibikiwa. na shida ni pale tunapokuwa na mtazamo wa kimarekani kuliko dhana nzima ya demokrasia.
hata hivyo, uhuru wa kuchagua na wa kuwajibika bado unahitaji marekebisho makubwa
 
yaani mkuu hapa ndipo tunapoharibikiwa. na shida ni pale tunapokuwa na mtazamo wa kimarekani kuliko dhana nzima ya demokrasia.
hata hivyo, uhuru wa kuchagua na wa kuwajibika bado unahitaji marekebisho makubwa
ni kweli mkuu...wao wanaochaangalia ni ubora wa kiongozi na fitness yake na sio ukomo wa uongozi
 
Habari waungwana,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Wakati watu waki kosoa yanayoendelea Afrika ya ubadirishaji wa katiba ili waliopo kuendelea kuongoza, huko Ujerumani wamempa Merkel muhula wa 4 aendelee kuongoza.
Tumesikia China wakimpa Xi ruhusa ya kutawala milele.
Sizonje naye ajipe miaka 7 tu, itakuwa poa vilevile


Tumia akili kijana....mfumo wa demokrasia ya ujerumani na kwetu ni tofauti sana.
Fanya utafiti kidogo kabla hujatuletea upupu tukusaidie kukuelimisha wakati unaweza tumia google
 
Wakifanya wao? Ni sawa. Akifanya Museveni, Mugabe, Kagame, Biya et al, ni kosa kubwa na ''kudumaza demokrasia". Ndo maana akina JPM wanawaza kufasa figusu wajiongezee mpaka atleast term ya miaka 7. Learning well from the West.
Hawa wadhungu hawa!
 
Kama kiongozi yuko vizuri aendelee tu,mtajifanya kubadilisha uongozi wakati hakuna wanalofanya zaidi ya kujichukulia chao mapema na kutokomea...
 
Back
Top Bottom