Ujerumani wamekuja kuomba kura yetu ili waingizwe UNSC

Wakoloni wetu Ujerumani wamemtuma mjumbe maalumu kuja kutushawishi ili waingizwe kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa..nini maoni yao kama mtanzania?

Aje Chancellor mwenyewe kutushawishi (Serikari tumieni hii kama sababu ya kumfanya Chancellor atembelee Tanzania)
 
Aje Chancellor mwenyewe kutushawishi (Serikari tumieni hii kama sababu ya kumfanya Chancellor atembelee Tanzania)
Sawa kabisa aje mama kansela Mikel mwenyewe apigishwe riheso ya kupiga magoti ya kisukuma hapo Lugalo kama wiki moja hivi ndiyo aende kwa Magufuli apige mpaka chini ndiyo amfikirie, si mtaka cha uvunguni ....?

Si mnakumbuka ya Ban Ki Moon wa UNO tulivyoihenyesha Korea Kusini mpaka ikatoa ahadi Rose Migiro akapewa unaibu katibu mkuu wa UNO.
Wembe uwe ule ule.
 
Sawa kabisa aje mama kansela Mikel mwenyewe apigishwe riheso ya kupiga magoti ya kisukuma hapo Lugalo kama wiki moja hivi ndiyo aende kwa Magufuli apige mpaka chini ndiyo amfikirie, si mtaka cha uvunguni ....?

Si makumbuka ya Ban Ki Moon wa UNO tulivyoihenyesha Korea Kusini mpaka ikatoa ahadi Rose Migiro akapewa unaibu katibu mkuu wa UNO.
Wembe uwe ule ule.
pumba tupu
 
Watulipe kwanza fidia ya kuwauwa wazee wetu kwenye vita ya majimaji na mwambao wa Afrika mashariki, Pili watulipe fidia ya kututawala kimabavu kwenye ukoloni, baadae ndo tuanze kuwachambua washaacha ubaguzi huko kwao maana hao watu wabaguzi KULIKO WAZUNGU wote wa ulaya magharibi
 
Back
Top Bottom