Ujerumani, Ufaransa na Italia zasitisha chanjo ya Astrazeneca

Hata huko Israel maambukizo yanaongezeka kutokana na mdudu wa Corona kujibadilisha mara kwa mara. Kitu ambacho Israel hawasemi, ni watu wangapi wamepata maambukizo baada ya kuchanjwa? Hawatoi takwimu hizo kwasababu ndio mkataba wao na kampuni za madawa kuwa hiyo ni siri yao wawili.

Sasa kama ni siri wewe umejuaje mkuu..?!
 
Ebwana BAK eee hawa mataga wanavimbisha vichwa vyao na kujiona wajanja wakati mwenyekiti wao yuko hoi na hii hii Corona. Kama angekubali chanjo labda ingemsaidia sasa wanachukulia iyo changamoto ya watu 17 tu kuhitimisha kuwa chanjo hazifanyi kazi. Wakati hata utafiti wenyewe hakuna, eti kwa sababu ujerumani na ufaransa wamesitisha na wao wanapita umo umo.

Mataga bwana
Ila si ndio nyie mliyokuwa mnasema ni mjinga pekee yake ndio anayeamini huyo mwenyekiti hajachanja chanjo?kwamba amechanja chanjo ya China,sasa hiyo corona ameipata vp?
 
Back
Top Bottom