Kwani namba kukumbushwa vita ya pili tulipigana chini ya mjerumani au muingereza? Babu yangu alipigana hiyo vita huko Barma chini ya muingereza sasa unaposema ni mjerumani nakua sielewi
china nao wanavuta mpnga us kupitia lile atomic bomb
china nao wanavuta mpnga us kupitia lile atomic bomb
hivi ni china au japani?ulisomea shule gani mwenzetu?
Watu washajipigia mahela zamaniiii
china nao wanavuta mpnga us kupitia lile atomic bomb
Hii ndiyo elimu bora kwa kila mtanzania!