#COVID19 Ujerumani kupiga marufuku wasiochanja kununua bidhaa

Ndugu zangu msiache dawa zetu za mapilipili, vitunguu swaumu, tangawizi n.k
 
alikuwa na underlying complications zingine?
sababu mimi mwezi wa 8 nilimpeleka bibi yangu.ni mzee ana more than 100 yrs.
haikuwa nia nichanje but nilimpeleka yeye km chambo.nilivyoona yuko ok na mimi nilichoma.hapo kumbuka huyu bibi yangu alikuwa akimsogelea mama kipindi anaugua kovid na kulala nae..tulimzuia tukashindwa.
mama alifariki mwez wa 4.baadae mwez wa 6 sista pia ilimuondoa na chenyewe kibibi kilikuwa kinasogea hapo..
hadi leo kipo na kimeenda zake ulaya huko kubadili upepo.
... ha ha ha! Una sifa zote za kuitwa "mshenzi".
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
Mm sichomi ng'oo
 
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid

● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi nzima linaweza kuwekwa nchini Ujerumani kuanzia Februari 2022.

● Serikali ya Uingereza inatia saini mikataba ya kununua dozi milioni 114 zaidi za chanjo ya Pfizer na Moderna ili kutumia mnamo 2022 na 2023.

Hizi updates zitakwambia kwamba COVID is here to stay kama ilivyo kwa NGOMA / HIV
Wenzetu wanapiga mapesa kwa kufanya tafiti za kisayansi lakini sisi tumewekeza kwenye kuhakikisha Mbowe anafungwa. Too sad!
 
Bongoland hatuna habari nayo inapambana na hali yake.
Kwakweli nilikuwa nna mpango wa kuchoma chanjo kutokana na ushawishi wa mzee wangu, ila three days after kuchoma chanjo aliumwa na within a week a kafariki.
Dr aliniambia kabisa kuwa ni negative effects za chanjo mzee hakuweza kuzihimili maana tayari alikuwa uzee unamsumbua.
Nikaggairisha kuchoma chanjo.
Pole sana ndugu.
 
alikuwa na underlying complications zingine?
sababu mimi mwezi wa 8 nilimpeleka bibi yangu.ni mzee ana more than 100 yrs.
haikuwa nia nichanje but nilimpeleka yeye km chambo.nilivyoona yuko ok na mimi nilichoma.hapo kumbuka huyu bibi yangu alikuwa akimsogelea mama kipindi anaugua kovid na kulala nae..tulimzuia tukashindwa.
mama alifariki mwez wa 4.baadae mwez wa 6 sista pia ilimuondoa na chenyewe kibibi kilikuwa kinasogea hapo..
hadi leo kipo na kimeenda zake ulaya huko kubadili upepo.

Bibi wa miaka mia?kaenda ulaya ?anaweza tembea?
 
Mwanangu ww huendi mbinguni.

Back
Top Bottom