Ujenzi wa Viwanda washika kasi nchini - hakika tuko kwenye 'right track' kama anavyosema Rais wetu mpendwa

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Hakika tuko kwenye 'right track( or 'lait tlack - wareva) kama asemavyo mheshimiwa Rais wetu mpendwa, Dr. Magufuli...tuongeze bidii kwenye kazi zetu za uzalishaji kila mtu kwenye sehemu yake...tutatoboa tu, haha!

Maandamano ya nini Tenaaa???( In Mzee Tupatupa's voice).
Screenshot_2018-03-13-09-25-26-1.png
 
Nilimsikia Mkubwa akisema mwanzo mgumu, hivyo tuvumilie kwani tupo kwenye right track. Sasa huo Mwanzo mgumu si ndio baadhi waliita Vyuma vimekaza halafu wakakatazwa kusema hivyo?
 
Back
Top Bottom