Ujenzi wa uzio ukumbi wa bunge Dodoma

Ujenzi wa uzio ukumbi wa bunge Dodoma

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
661
Kuna sababu gani serikali kujenga uzio wa fensi kwenye ukumbi wa bunge Dodoma?

Mbona serikali naiona ajawa na maamzi mazuri kwa ujenzi wa hii fensi kwa sababu uzio wa kwanza ulikuwa unatosha kabisa na ukizingatia ulinzi ulioko pale ni mzuri sana.

Kwa upande mwingine hiyo fensi aijaleta mvuto wowote mzuri kwenye hilo jengo pia naona kama serikali hizo pesa zinazotumika kwa ujenzi wa fensi ni bora ingezipeleka kwenye mambo mengine ya msingi ambayo yana hitaji pesa.
 
Miradi yenye ulaji ndiyo inayopewa kipaumbele.

Ulizia gharama za ukarabati kwa ajili ya Bunge la katiba utashangaa!

Viti vimeongezwa ila sijui baada ya bunge la katiba vitapelekwa wapi!
 
Yan ukipita pale ukaona utashanga sana yan ni upotevu wa pesa kabisa
 
Kuna sababu gani serikali kujenga uzio wa fensi kwenye ukumbi wa bunge Dodoma?

Mbona serikali naiona ajawa na maamzi mazuri kwa ujenzi wa hii fensi kwa sababu uzio wa kwanza ulikuwa unatosha kabisa na ukizingatia ulinzi ulioko pale ni mzuri sana.

Kwa upande mwingine hiyo fensi aijaleta mvuto wowote mzuri kwenye hilo jengo pia naona kama serikali hizo pesa zinazotumika kwa ujenzi wa fensi ni bora ingezipeleka kwenye mambo mengine ya msingi ambayo yana hitaji pesa.

Basi ni hiyo fensi pamoja na vile viti bilioni 8! Nchi ngumu hii!
 
Wataka musiwaone wakati wanagawana posho zao.
 
tanzania hiwa wanatafuta mambo ya kufanya ili wapige hela baasi........foolish
 
we unasemea ukuta tu kun barabara zinazozunguka ukumbi huo kwa nyuma zimefungwa na makamba ya njano huruhusiwi kupita, na mapolisi kibao na mbwa wao wanakokota huko. jiulize kwanini kipindi cha mabunge mengine huwa hazifungwi. duh ukoloni bado upo.
 
Back
Top Bottom