Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,285
- 9,922
Mapema leo, Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng. Hersi Said wamekutana kwenye kikao maalumu cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Serena Hotel, Jijini Dar Es Salaam
Kikao hicho kilijikita zaidi kwenye kujadili ajenda mbili, Hatua ya mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa Klabu na Ujenzi wa Uwanja wa Yanga ambao unatarajiwa kuanza mwezi ujao
Kikao hicho kilijikita zaidi kwenye kujadili ajenda mbili, Hatua ya mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa Klabu na Ujenzi wa Uwanja wa Yanga ambao unatarajiwa kuanza mwezi ujao