mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Bogus au boga tu, basi!Siwezi kukuita great thinker, labda mlamba viatu moja mwenye mahusiano na jamaa wa Lumumba.. kwanza unaonekana dhahiri kuwa kiwango chako cha kisomo ni duni mno. Mtu mwenye uelewa lazima afahamu mahitaji ya uendeshaji wa uchumi wenye msingi imara.. Biashara ya ndege si kwa Tz yenye kiwango kikubwa cha watu wapuuzi puuzi.. hamchelewi kuua watu kutokana na ajali. Kwa faida yako na wengine wenye mawazo kama yako, katika Watz 50M, watu wenye uwezo wa kujilipia nauli ya ndege hawafiki hata elfu 50.. ndo maana kuwekeza kwenye usafiri wa anga bila kuwajengea misingi thabiti ya uchumi ili wengi waweze kumudu kujilipia nauli ya ndege ni jambo la msingi sana.
Haya mambo ya chato haina tofauti na ile ya Bagdolite kule kwa Seseseko
Haya.. mtajiju na ushamba wenyu
nakuomba to apply some logic kido go chato hawana clean and safe @ running water, hawana hospitari kumbwa ya rufaa, hawana any public university or college chato hawana umeme wawakika wana mgawo na biharamuro. sasa swali nikwamba uwanja wandege ni priority ya chato as per now? or misalocation of public funds?
Kuna justification kweli ya kujenga kiwanja Chato na Mwanza? Tabora na Kigoma? Shinyanga pia wakati Ruvuma, Rukwa na Katavi hakieleweki?ongelea kiuchumi zaidi huku ukitoa data ...nitakuelewa
Lakini Wasukuma bana, of all projects mkaoma mkajenge uwanja wa ndege kijijini???Mwingine ndo huyo anajitokeza kununua nyumba za mabilioni huku hana hata mia mfukoni....si ajabu kakake nae kila siku anatuimbia serekare yake ni dona kantre huku usiku anaenda kukopa!Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
International Airport yenye hadhi sawa na JKNIA Chato? Hili White Elephant litadumaa tu baada ya 2025. Labda mzee afanye mpango wa kuua Airports za Shinyanga, Mwanza etc ili tuwe tunatua pale kwake then tunashuttle kwenda mikoa na wilaya za jiraniongelea kiuchumi zaidi huku ukitoa data ...nitakuelewa
Hii ndio unaiita "constructive"?Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Umenikumbusha na ofisi ya spika urambo!Siwezi kukuita great thinker, labda mlamba viatu moja mwenye mahusiano na jamaa wa Lumumba.. kwanza unaonekana dhahiri kuwa kiwango chako cha kisomo ni duni mno. Mtu mwenye uelewa lazima afahamu mahitaji ya uendeshaji wa uchumi wenye msingi imara.. Biashara ya ndege si kwa Tz yenye kiwango kikubwa cha watu wapuuzi puuzi.. hamchelewi kuua watu kutokana na ajali. Kwa faida yako na wengine wenye mawazo kama yako, katika Watz 50M, watu wenye uwezo wa kujilipia nauli ya ndege hawafiki hata elfu 50.. ndo maana kuwekeza kwenye usafiri wa anga bila kuwajengea misingi thabiti ya uchumi ili wengi waweze kumudu kujilipia nauli ya ndege ni jambo la msingi sana.
Haya mambo ya chato haina tofauti na ile ya Bagdolite kule kwa Seseseko
Haya.. mtajiju na ushamba wenyu
Hizo bilioni zingejenga viwanda vingapi ( si vikubwa si vidogo )Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Mkuu umetaja bil 39 kukarabati huo uwanja ( ukweli sio ukarabati bali ni ujenzi )Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.
Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.
Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.
Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.
Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.
Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.
mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.
Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.
Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?
Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?
Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Hizo bilioni zingejenga viwanda vingapi ( si vikubwa si vidogo )
size ya kati?
Big questionKiuchumi huu uwanja unaotumia billion 41 utasaidia vipi taifa kimapato??
Presidential WISHHiyo fedha ya ujenzi ilikuwepo kwenye mpango wa 2017/2018? au 2016/2017?
Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.
Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.
Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.
Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!