Marine plywood ina ukubwa wa 1.2*2.4 meters na unene wa 16mm. Mara ya mwisho nimeulizia(miezi mi3 iliyopita) minimum price ilikuwa 75,000By kibiashara
Nimemaliza kumwaga zege. Nina mirunda 700 (bei @ 1,500) Marin Board 65 (bei @ 40,000) Mpya zimebaki 5 ambazo naziuza kwa (@ tshs 50,000) na Mbao za 4x2, 6x2 na 10x1 nyingi). zote zimetumika mara moja na ziko katika hali nzuri. kwa anayehitaji zitakuwa available baada ya wiki 2 kuanzia leo. unaweza anza fanya booking mapema na ukajiandaa kuzichukua. ni PM au piga 0713 60 28 00
Mkuu kibiashara
Je marine board moja ina size gani? Bei yake ya sokoni (zikiwa mpya) ni sh. ngapi?
Taarifa hizi zitawasaidia wadau kujua wanahitaji boards ngapi na kiasi cha pesa wanachoweza kusave kwa kununua toka kwako.
Kwa mirunda, sehemu nyingi za rejareja wanauza around sh. 2,500.
Je, iwapo mdau anataka kukodisha tu, unakubaliana na option hiyo?
Asante...
Marine plywood ina ukubwa wa 1.2*2.4 meters na unene wa 16mm. Mara ya mwisho nimeulizia(miezi mi3 iliyopita) minimum price ilikuwa 75,000
Mkuu, unafahamu reliable supplier wa hizi boards...
Inategemea upo mji gani Mkuu, nafahamu kuhusu Dofoma zaidi ila kama upo Dar nenda hardware za Buguruni hukosi
kama unataka kuibiwa nenda Buguruni
Mbao ya futi kumi utauziwa kama ya futi 15.kama unataka kuibiwa nenda Buguruni
Hivi wale jamaa Wakala wa vipimo (WMA) sio kazi yao hii? au ni mamlaka gani inayohusika kuangalia haki za wateja wanaodhulumiwa kwa vipimo kama hivyo? Maana malalamiko ya Buguruni yako muda mrefu sasa na sioni hatua zozote zikichukuliwa juu yaoDawa Ya Buguruni ni kwenda na futi yako we na msaidizi, mnapima wenyewe wao wanasimamia tu maana futi zao wanazikata katikati
Mkuu ZeMarcopolo tupe na maujanja ya kupunguza gharama za ujezi wa msingi wa ghorofa, hasa kwa hizi ghorofa moja tu za familia
Mkuu,
Kwenye msingi ujanja pekee ni kusimamia closely iili usiibiwe materials.
Zaidi ya hapo hakuna ujanja mwingine labda kwenye bei za ufundi.
Mkubwa ghorofa lako ushamaliza? Je msingi wa ghorofa wa sqm 64 kuweka starter 1.5m deep na slab ya sqm 64 inaweza cost kiasi gani? Kwa experience yako.
Mkuu maisha ni kujikongoja,
Ingawakuna factors nyingi zinazoamua bei lakini on average it should be 7-9 mil. Kadiri sq. m. zinavyokuwa chache ndivyo jinsi unit price inavyoongezeka.
Kama nimekuelewa unataka kujenga nyumba ya chini lakini master bedroom iwe ghorofani.
Kama lengo lako ni kupunguza gharama mimi ningekushauri ujipige tu uweke kitu full. Mimi wakati fulani nilikuwa na idea hiyo, lakini nikafikiria dogo akikua atanimind, halafu family inakuwa detarched in some ways. Preferences ziko nyingi, I am just giving my perspective.
Kwa hakika mahitaji ya formwork na falsework (hizo mbao, mirunda uliyotaja nk) ni moja ya gharama kubwa katika ujenzi wa nyumba za kawaida. Ingesaidia kiasi wakitokea wajasiriamali watakokusanya mbao used sehemu mbalimbali na kuwauzia wajenzi wapya kwa bei nafuu.
yap master iwe juu,okay thanx kwa ushauri ngoja nizichange change kuwe na hata vyumba vi2 juu,ukishazoea kukaa ghorofani kuishi nyumba za chini mtihani.
aaaha mkuu umenichekesha hapo kwa red