K Kijana wa manda Member Joined Feb 4, 2021 Posts 8 Reaction score 6 Mar 4, 2021 #1 U hali gani wapendwa, Mwenye taarifa za kinachoendela kwenye mradi wa reli kuanzia isaka tabora hadi Mwanza maana imepita miezi miwili sasa tangu wasaini mkataba na serikali.
U hali gani wapendwa, Mwenye taarifa za kinachoendela kwenye mradi wa reli kuanzia isaka tabora hadi Mwanza maana imepita miezi miwili sasa tangu wasaini mkataba na serikali.
nyampanaga JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,104 Reaction score 559 Mar 4, 2021 #2 Bado hatujaona pilika mkuu
Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,768 Reaction score 5,089 Mar 4, 2021 #3 Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma. Asante.
Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma. Asante.
L Lumoge JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 605 Reaction score 775 Mar 4, 2021 #4 Torque vs HP said: Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma. Asante. Click to expand... [emoji16][emoji16]
Torque vs HP said: Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma. Asante. Click to expand... [emoji16][emoji16]
Faru Tobbi Senior Member Joined Oct 29, 2018 Posts 196 Reaction score 203 Mar 25, 2021 #5 Torque vs HP said: Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma. Asante. Click to expand... ni vizuri kusoma kitu kwa makini ndo ujibu
Torque vs HP said: Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma. Asante. Click to expand... ni vizuri kusoma kitu kwa makini ndo ujibu