Ujenzi wa nyumba - Gharama za fundi

Ujenzi wa nyumba - Gharama za fundi

Aika Mndumii

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
164
Reaction score
47
Wakubwa zangu:

Kuna rafiki yangu anataka kujenga nyumba ya ghorofa moja. Ukubwa wa nyumba ni wastani wa mita za mraba 350 (chini chumba kimoja, jiko, sebule, store, public toilet, study room na dinnig. Juu (Vyumba vitatu) na kila chumba ni self contained.

Materials mwenye nyumba atanunua mwenyewe kulingana na alivyopewa na engineer wake. Gharama za material mpaka kupaua inakadiriwa kuwa 80m

Swali: Engineer na mafundi wake walipwe kiasi gani kwa kuanzia setting ya nyumba, kujenga mpaka kupaua (kuweka vigae) basi. Kiwanja kiko maeneo ya mbweni ni eneo tambarare sana. Kwa mwenye uzoefu naomba asaidie makadirio inaweza kuwa kiasi gani (kwa gharama za engineer na mafundi peke yake). Nimeliweka hili ombi langu pia kule kwenye ubao wa maswala ya uchumi (JF) ili kupata mawazo kutoka kwa wadau mbalimbali.

Shukrani sana
 
Ukiongea nao fresh hata bure wanakufanyia kazi si unajua ma engineer wana roho nzuri sana. :A S-fire1::closed_2:
 
Ukiongea nao fresh hata bure wanakufanyia kazi si unajua ma engineer wana roho nzuri sana. :A S-fire1::closed_2:
Anahitaji kusaidiwa, sio UTANI... Mara nyingine tuwe SERIOUS, Kama huna jibu, kaa kimya. Mkuu piga No. hii, Huyu jamaa ni Engineer, Anaweza kukushauri 0712579062... Amenifanyia kazi yangu na hana bei ya kutisha.
 
Kwa mahitaji ya mbao za kupauwa anione nitamfanyia bei rahisi na usafili buree mpaka site
 
Mim ni msimamiz wa ujenz na nimesimamia gorofa 2 tofaut na za kawaida 4 nipo dar nitafute nikupe ushaur 0652835909
 
Back
Top Bottom