Chinekeee
Member
- Aug 20, 2014
- 86
- 30
Sasa mbona hajibu maswali wakati kajitakia
Nimeona moja barabara ya Ali Hassan Mwinyi, swali, kuna tofauti gani kati ya zege na hayo machuma?
Naweza chenga jengo la gorofa 3 au 4 zuri la kisasa kwa ajili ya osfisi na makazi kwa kutumia vyuma? Kama inawezekana faida na hasara ni zipi?
Naweza chenga jengo la gorofa 3 au 4 zuri la kisasa kwa ajili ya osfisi na makazi kwa kutumia vyuma? Kama inawezekana faida na hasara ni zipi?
Kwanza kbsa ningependa kukueleza kuwa unaweza kujenga gorofa hata 10 kwa kutumia vyuma...na inafaida kubwa coz una save more than 30 to 40% ya material .pesa .na muda ukilinganisha na kutumia zege
Kwahio simplemind hapo juu kadanganya? Ofisi zenu ziko wapi? Na si itabidi kutumia ofisi hio hio kuanzia architectural designs mpaka kumaliza? Dar mmejenga gorofa ngapi na wapi?
Tuombe mods ahamishe huu uzi kwenye matangazo ya biashara ili usipotee haraka. Nitakutafuta mkuu, sema kwa sasa kuna mambo nataka kamilisha kwanza ila in 6 months nitakua tayari kuanza project yangu. Hivyo naomba uni PM tu contact zenu ili mda ukifika nikianza ku survey options niweze kupia kwenu pia. Asante.Ofis zetu zipo mikochen .na kama tukikubaliana na mteja architectural designs huwa tunafanya na kumpa options pia tumejenga mbili zipo nyerere ..kama unahitaji maelezo zaid karbu PM asante
Ni kweli kabisa mkuu ila kama unavyojua tunakimbizwa na maendeleo na tecnolojia so si dhani kama huu ni muda muafaka wa kufanya hivyo....asanteSerikali ingelikuwa ina akili ingezuia( nasema kuzuia sio kupiga marufuku) ujenzi wa majengo ya chuma hadi pale Tanzania itakapoweza kuzalisha na kufua chuma chake mwenyewe. Kinyume cha hapo, kwa kutegemea chuma cha kuagiza nje ya nchi, kitaporomosha thamani ya shilingi na uchumi zaidi ya ilivyo sasa. Chuma miongoni mwa bidhaa sensitive duniani ambazo hazichelewi kuyumbisha uchumi (rejea hata maamuzi ya Bush jr kuhusu steel huko Marekani).