Ujenzi wa Kijapani

Salute

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hizo cross za hayo magorofa ni shida zinavutia
 
Imetulia hii. Lowasa atatujengea walau hata huku Posta
 
mungu kawapendelea sana hawa watu

Teh.., hawajapendelewa mkuu wanatumia brain, teknolojia na changamoto ya ufinyu wa ardhi kufanya maajabu kama hayo! Pia matumizi mazuri ya kodi za wananchi wao.

Fikiria ufisadi wa pesa za Richmond, Escrow, EPA et al., kama zingewekezwa kwenye ujenzi wa miundo mbinu bora tungepiga kahatua angalau! But tuliowapa dhamana wao wako busy wanajenga matumbo yao (Huu ni ufinyu mkubwa sana wa akili)!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…