Hapa sasa si kama umejijengea gereza ?Alarm
Electrical Fence
Automated gate
CCTV
Backup generator
Kupanga ni chaguaHapa sasa si kama umejijengea gereza ?
Waafrika tunajenga nyumba, hatujengi makazi boraNi jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!
Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi kali!,nyumba haina hata cctv camera ukiibiwa unakimbilia kwa mganga kupiga ramli!
Nyumba haina tv na sound za kisasa!
Nyumba ina visofa uchwara vya miaka nenda rudi!
Kwangu mimi ni bora nijenge nyumba ya gharama za kawaida sana ila ndani iwe na huduma zote muhimu za kibinadamu yenye hadhi ya hotel ya nyota kadhaa!
Tujifunze kwa mabeberu nyumba unakuta mbaya kimuonekano ama ya kawaida kabisa ila ndani ni very comfortable!
View attachment 2402298
View attachment 2402299
We nawe unaonekana kipato chako cha mashaka sana. Nyumba ya M40 Dar es salaam sio nyumba ya hadhi ni gofu tu la kawaida.Ni jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!
Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi kali!,nyumba haina hata cctv camera ukiibiwa unakimbilia kwa mganga kupiga ramli!
Nyumba haina tv na sound za kisasa!
Nyumba ina visofa uchwara vya miaka nenda rudi!
Kwangu mimi ni bora nijenge nyumba ya gharama za kawaida sana ila ndani iwe na huduma zote muhimu za kibinadamu yenye hadhi ya hotel ya nyota kadhaa!
Tujifunze kwa mabeberu nyumba unakuta mbaya kimuonekano ama ya kawaida kabisa ila ndani ni very comfortable!
View attachment 2402298
View attachment 2402299
Alarm
Electrical Fence
Automated gate
CCTV
Backup generator
Waafrica tunajenga eneo ya kujihifazi tuu, na ndo wengi wanafanaya hivyo.Ni jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!
Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi kali!,nyumba haina hata cctv camera ukiibiwa unakimbilia kwa mganga kupiga ramli!
Nyumba haina tv na sound za kisasa!
Nyumba ina visofa uchwara vya miaka nenda rudi!
Kwangu mimi ni bora nijenge nyumba ya gharama za kawaida sana ila ndani iwe na huduma zote muhimu za kibinadamu yenye hadhi ya hotel ya nyota kadhaa!
Tujifunze kwa mabeberu nyumba unakuta mbaya kimuonekano ama ya kawaida kabisa ila ndani ni very comfortable!
View attachment 2402298
View attachment 2402299
Alarm
Electrical Fence
Automated gate
CCTV
Backup generator
Waganga hawawezi kusaidiaAcha uoga,ukiibiwa si unaenda kwa manyaunyau tu kuroga[emoji23]