Ujenzi wa Jengo la Abiria Mwanza Airport limefarakana na Serikali?

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,842
Reaction score
6,962
Ni muda sasa naona kama hakuna maendeleo yoyote ya maana katika ukamilishaji wa ujenzi wa jengo zuri la abiria pale Mwanza airport.

Soma Pia: Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200

Bado kana endelea kutumika kale kajengo kadogo ka tangu enzi za mjerumani ambako ni kafinyu sana sana na kenye kero kibao.Yaani mkiwa mnasubiri mizigo au kuondoka mnapumuliana wenyewe kwa wenyewe.
 
Magufuli amewafitinisha
 
Huu uwanja una mkosi gani. kajengo kenyewe kadogo hata hakazidi stendi ya Nyamhongoro lakin kuisha shida sijui kuna nini ROSTAM tusaidie
 
Ni muda sasa naona kama hakuna maendeleo yoyote ya maana katika ukamilishaji wa ujenzi wa jengo zuri la abiria pale Mwanza airport.

Soma Pia: Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200

Bado kana endelea kutumika kale kajengo kadogo ka tangu enzi za mjerumani ambako ni kafinyu sana sana na kenye kero kibao.Yaani mkiwa mnasubiri mizigo au kuondoka mnapumuliana wenyewe kwa wenyewe.
Inasemekana Jengo halina viwango na halina sifa,linapaswa kuvunjwa....pesa ya mkulima imepotea.
 
MWANZA kua International Airport sio leo wala kesho kama ilishindikana wakati wa jiwe basi tusubiri sanaaa kuna kitu serikali inakwepa sio bure
 
Mwanza haistahili jengo la namna ile kubeba hadhi ya uwanja wa kimataifa, kwa maoni yangu lile likamilishwe tu liwe terminal 2 lakini lijengwe jingine la kisasa zaidi kulingana na ukubwa wa Mwanza liwe terminal 3... Mbona inawezekana?
 
Back
Top Bottom