rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 161
- 128
Natafuta Marine board kwa ajili ya ujenzi wa Slab maeneo ya Wazo Hill. Kama kuna mtu anauza used Marine board au kukodisha kwa bei nafuu naomba anitaarifu.
Asante sana kwa taarifa hizi. Nitajaribu kwenda kuona bei zao. Unadhani ni kiasi gani kwa sasa..?Nenda Tegeta kibaoni wanauza used marine boards. Nakushauri ununue mpya kwani bei hazipishani sana. Jaribu Mbuyeku, wako Tangi Bovu...bei zao sio mbaya sana
PFAHebu weka picha ya hiyo marine board niione.
Ndo inatumikaje mkuu, na mimi nipo mbioni kujenga ghorofa.
Ndo inatumikaje mkuu, na mimi nipo mbioni kujenga ghorofa.
angalia pia option ya kukodi pannels.. 4×4ft ni kati ya 250 -300 kwa siku kwa huku kwetu arusha najua huko itakuwa rahisi zaidiNatafuta Marine board kwa ajili ya ujenzi wa Slab maeneo ya Wazo Hill. Kama kuna mtu anauza used Marine board au kukodisha kwa bei nafuu naomba anitaarifu.